Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

Ila Iniesta ana nidhamu, ana akili, ana wepesi, ana usahihi, ana control, ana kipaji pure, anajua namna ya kuboss midfield zone yake, yuko quick and dribbling skills na accurate pass zake zinamfanya asiwe na mpinzani uwanjani.

Mkuu hebu nitajie hata kimoja tu katika hivi ambacho Gaucho hana.
Labda nidhamu ya kutomwenda Club na kula bata nje ya uwanja.
 
Acha unoko wewe, kwani uongo sasa? Dino kapitwa mbali,kacheza muda mfupi kajichokea, Don Andres kacheza mda mref na bado mkali. Mue mnatumia akili kufikiri.
hahaaaaaaa.... kucheza mda mrefu sio hoja kabisa, mfano Francesco Totti is still playng and yuko na 40 yrs now lakin huwezi ukamuweka knye level moja na Dinho
 
Kwahiyo kucheza muda mrefu ndio kuwa bora??


Hujanielewa point yangu mkuu. Muda huo aliotumikia pale barce ni 5 years only, ndani ya miaka hiyo mitano ni miwili tu Barce ilionekana iki perform vizuri 2004-2006! Pia sikatai alikua ni mchezaji mzuri tu kwa miaka yake hiyo miwili 2004-2006 only! lakini bado hakua bora kumzidi Iniesta, kwakua kipindi hicho hakukua na wachezaji wakali sana kama kipindi hiki cha akina Messi- Cr7-Iniesta-Aguero, suarez,Ibrahimovic na neimar. Mfano angekuwepo kipindi hiki unazan angeambulia nini? Tena hata kwenye top ten usingemuona, labda angelingana na akina,De maria,sanchez,robben,lewandowsky,david silva,bosquets,pedro,higuain na hazard.. hao ndio wa saizi yake. sasa huyo mtamlinganisha na don Andres kweli?
 
hahaaaaaaa.... kucheza mda mrefu sio hoja kabisa, mfano Francesco Totti is still playng and yuko na 40 yrs now lakin huwezi ukamuweka knye level moja na Dinho


Mkuu Muda huo aliotumikia pale barce ni 5 years only, ndani ya miaka hiyo mitano ni miwili tu Barce ilionekana iki perform vizuri 2004-2006! Pia sikatai alikua ni mchezaji mzuri tu kwa miaka yake hiyo miwili 2004-2006 only! lakini bado hakua bora kumzidi Iniesta, kwakua kipindi hicho hakukua na wachezaji wakali sana kama kipindi hiki cha akina Messi- Cr7-Iniesta-Aguero, suarez,Ibrahimovic na neimar. Mfano angekuwepo kipindi hiki unazan angeambulia nini? Tena hata kwenye top ten usingemuona, labda angelingana na akina,De maria,sanchez,robben,lewandowsky,david silva,bosquets,pedro,higuain na hazard.. hao ndio wa saizi yake. Sasa huyo mtamlinganisha na don Andres kweli?
 
Kwa wanaoujua mpira, kama taaluma na siyo burudani, hakika kiwango cha Inesta hakilinganishwi na mchezaji yeyote wakati huu.

Magoli mengi (›80%) hutengenezwa na Iniesta

Iniesta katika kila mechi hutoa pasi za uhakika ›90%.

Kiungo cha timu ya Barca kinamtegemea Inesta kwa 100%

Si rahisi Iniesta kunyang'anywa mpira akiwa uwanjani

Timu ya Taifa imekuwa juu kimpira kwa sasa ya kiungo Iniesta

Juzi tu Messi, mchezaji mwenzake, alimsifia kuwa injini ya Barca ni Ineusta
 
kama gaucho angeacha starehe nina hakika kuna mambo ambayo alikuwa hajatumalizia wapenda mpira hakika ametukatili kwa uchoyo wake wa kutuonjesha
 
Binafsi kwenye uzi huu wa kumfananisha iniesta na Gaucho naona mnachanganya mambo tuu coz naona kila mtu anachangia kiunazi zaidi,ukweli nionavyo mimi soka la sasa limebadilika saana so Gaucho alikuwa bora kwa kipindi chake na iniesta ni mzuri pia kwa kipindi chake,kama tupo makini vipaji vingi vya soka vilikuwa zamani na si sasa,zamani kulikuwa na soka lenye burudani sn kuliko sasa na ligi nyingi zilikuwa hazitawaliwi na baadhi ya timu kubwa tuu kama ilivyo sasa so utaona tunakosa wachezaji wenye mvuto kama akina gaucho zinane,pillo,obagio,cluvert,edgar devis,bebeto, na wengine weengi sn na kipindi kile ilikuwaga ngumu sn kutabiri nani atashinda iwapo timu mbili zinakutana so ndiyo maana huwezi kuwalinganisha hawa watu coz walicheza vipindi tofauti kwenye hizi na ndiyo maana hata makocha wana criteria zao unaweza kumuona mtu huyu ni bora kumbe kwa mwingine si bora n.k

sasa kwa mtazamo wangu Gaucho ana uwezo mkubwa sn kuliko Iniesta na ndiyo maana alioata tuzo nyungi kuliko iniesta,isitoshe Gaucho ana uwezo wa kucheza hata mchangani i mean hategemei eti ni mpaka awepo mtu ganj ndiyo afanye vizuri lah anang'aa hata acheze na combination asiyoijua kwa kipindi kile alivyokuwa na umri mzuri wa kucheza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom