Inholland university amsterdam ni chuo fake.

Misinzo

New Member
Jan 30, 2012
4
0
Kwa wale siku za mbeleni watataka kuja kusoma in the Netherlands wawe makini na hichi chuo cha Inholland hoogschool diemen ni chuo fake,kimekuwa kikitoa vyeti kwa urahisi kwa ajili ya kupata subsidy kutoka serikalini,imewachanganya wanafunzi wengi waliomaliza hapo katika kutafuta market ya kazi ni Kama vyeti havina thamani,hata mwaka mpya wa shule kimepata wanafunzi wachache waliojiunga kutokana na scandal hii.
 
Back
Top Bottom