Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha kututia unyonge nduguzo! 4 zote za nini? Mi nimekosa mkopo wa Ndalichako! Unashindana na Bombadier?Bei gani hiyo?..
Nahitaji kama nne hivi...!
za wanangu wawili, moja yangu na nyingine ya my queen!!Mkuu acha kututia unyonge nduguzo! 4 zote za nini? Mi nimekosa mkopo wa Ndalichako! Unashindana na Bombadier?
Daaah. Bro Mungu anakuona ujue. Bukoba kule watu hata Mabkanket hawana. Mkuu naomba kazi ya kuziosha!za wanangu wawili, moja yangu na nyingine ya my queen!!
Utamwendesha my queen, Kuziosha no!Daaah. Bro Mungu anakuona ujue. Bukoba kule watu hata Mabkanket hawana. Mkuu naomba kazi ya kuziosha!
Utamwendesha my queen, Kuziosha no!
Utamwendesha my queen, Kuziosha no!
Watanzania tena. Ushaanza kunitilia kitumbua mchanga mapemaa! Usimtishe bepari!Unamwachia jamaa aendeshe mkeo??? Mmmh mwisho ""my queen "" itakuwa "my msaliti