Ingia humu uione link ya website mpya ya Dr slaa maoni yangu....

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
chadema oyeeee
waweza toa maoni yako kuhusu na website mpya ya dr slaa kupitia mtandao wake mpya
MAONI YANGU
nimefurahishwa na hatua aliyoifikia mheshimiwa slaa na ni mwendelezo mzuri wa yeye kuzidi kujijenga katika zama hizi ya sayansi na teknolojia ninamtakia mafanikio mema yeye na wanachadema wote
icheck site hiyo kupitia
Dr. Willibrord Peter Slaa .com - Karibu
 
Nimeshangaa sana kuona hiyo site ya Slaa, hivi kweli Chadema hawana watu wa IT?

Haina tofauti na site ya Malaria Sugu, kuna haja gani ya kuweka masharti lazima uandike Telephone number, E-mail, Jina kamili.

Halafu eti ukisikia ufisadi sehemu unampelekea.
 
Naona imefunguliwa kwa ajili ya taarifa za ufisadi tu... hovyo kabisa!
 
Hivi kwanin mtu ka wewe mungu asikuchukue 2 ukapumzike hunafaida.cha ajabu nin au wivu basi jinyonge.
 
nafakiri bado haijakamilika lakini ni wazo zuri. haina mwanzo wala mwisho. mwanzo mgumu. Mia
 
Watu wengine wamezoea manjonjo na macomplications, Dr Slaa hayuko hivyo, ndo maana website yake iko simple, clear and to the point, ili hata anaejifunza kutumia mitandao na tovuti aweze kutumia pasi na taabu. Wanaotaka macomplications nawashauri wajaribu kuwasiliana kupitia mitandao ya Kikwete!
 
Nimeshangaa sana kuona hiyo site ya Slaa, hivi kweli Chadema hawana watu wa IT?

Haina tofauti na site ya Malaria Sugu, kuna haja gani ya kuweka masharti lazima uandike Telephone number, E-mail, Jina kamili.

Halafu eti ukisikia ufisadi sehemu unampelekea.

Tatizo lako umezoe FaceBook! Ulidhani utaanza kutafuta marafiki wa kike kama unavyofanya FaceBook na hapa JF! We tuma ripoti za ufisadi. Kama Nape hakulipi mshahara sema Dk Slaa atakusaidia ulipwe. Mpuuzi we!

Nimeshindwa kuelewa kama kweli hii ni website. Hata hivyo kwa sababu wamesema ni mpya tutaendelea kuipitia tuone kama kuna mapya zaidi ya tuhuma za ufisadi wa nje ya CHADEMA huku ufisadi wa ndani ya CHADEMA hausemwi japo anaujua.
Nitafurahi ukiusema huo ufisadi wa CDM ukiambatana na ushahidi
 
Nimeshangaa sana kuona hiyo site ya Slaa, hivi kweli Chadema hawana watu wa IT?

Haina tofauti na site ya Malaria Sugu, kuna haja gani ya kuweka masharti lazima uandike Telephone number, E-mail, Jina kamili.

Halafu eti ukisikia ufisadi sehemu unampelekea.

Unanuka gongo
 
asante mkuu,kitu mbona kipo safi tu. Nimemaliza kumpa bomu sasa hivi. Mbarikiwe sana.
 
chadema oyeeee
waweza toa maoni yako kuhusu na website mpya ya dr slaa kupitia mtandao wake mpya
MAONI YANGU
nimefurahishwa na hatua aliyoifikia mheshimiwa slaa na ni mwendelezo mzuri wa yeye kuzidi kujijenga katika zama hizi ya sayansi na teknolojia ninamtakia mafanikio mema yeye na wanachadema wote
icheck site hiyo kupitia
Dr. Willibrord Peter Slaa .com - Karibu

Huyu mzee lini tena kaanza uza sura na jina!?
 
washauri wake wamuambie atoe hiyo sura yake na jina pia, aifanye iwe neutral!
otherwise ajiunge na facebook!
 
Nimeshangaa sana kuona hiyo site ya Slaa, hivi kweli Chadema hawana watu wa IT?

Haina tofauti na site ya Malaria Sugu, kuna haja gani ya kuweka masharti lazima uandike Telephone number, E-mail, Jina kamili.

Halafu eti ukisikia ufisadi sehemu unampelekea.

we unadhani kila website inacontain makeup language??? Hapo zmegongwa code za muhimu ndio mana imetoka simple and clear, tuliosomea hiyo kitu tumeipitisha.
 
Wenye elimu zetu tumekubaliana nayo,iko sawa sana tu.BIG UP DR SLAA"
Na tusiopenda ufisadi kwenye hii nchi tutampelekea taarifa.
 
Nimeipenad hiyo Website ni simple and clear, pamoja sana Dr wa ukweli tutakusiadia sana kukuletea report na mawazo mbalimbali
 
Nimeshangaa sana kuona hiyo site ya Slaa, hivi kweli Chadema hawana watu wa IT?

Haina tofauti na site ya Malaria Sugu, kuna haja gani ya kuweka masharti lazima uandike Telephone number, E-mail, Jina kamili.

Halafu eti ukisikia ufisadi sehemu unampelekea.

Kwani ya JK ikoje?
 
mimi na mpongeza slaa kiboko wa mafisadi piga kazi mzee achana na wapotoshaji wa magamba bigggggggggggggggappp sana
 
Back
Top Bottom