Ingependeza kama wanawake wakijibu swali hili

Mzee mwenzangu Bishanga, kwa uzee huu nilionao, nimekuwa nikiwaza na kujiuliza maswali mengi yenye utata, kwa kuwa katika jamii yetu, haya yapo, ndio maana najaribu kuwashirikisha wana JF wenzangu ili kupata changamoto zao. nafurahi kwamba napata majibu mengi yenye kuelimish, na ninaamini hata wasomaji watakuwa wamejifunza jambo pale watakapojikuta wamepata mtihani unaofanana na yale ninayouliza humu.

Nimefarijika sana baada ya my Daughter Lizzy kuweka thread ya kuelimisha juu ya utegemezi (https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/197043-utegemezi.html) likiwa ni wazo lililotokana na thread hii. hii inathibitisha kwamba yale ninayouliza humu huibua mengi ambayo hatuyajui na hapo ndipo tunapopata somo..............
mkuu tatizo mada zako nyingine full utata wakati we unajua jf unafiki pia upo watu hatuwi wakweli kwa nafsi zetu.Mfano mi naamini humu jf wadada kibao wanatoa tigo,lakini nani atakiri pamoja na kwamba kwa sasa it is a normal thing wala sio issue?
 
Awasaidie ndugu zangu mimi kufikia malengo yao ya maisha yeye kawa JEHOVA.

Tena hiyo itakuwa sababu nzuri ya Divorce,kwani ni moja ya sababu chache zinazo halalisha ndoa kutenguliwa kwa wakristo,sijui kwa waislam.

Divorce? Umeambiwa siyo mkewe huyo!Huyu mdada anaishi na mkaka tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom