Ingependeza kama wanawake wakijibu swali hili

Unategemea wanawake wafunguke hapa?Umekosea,hata ukikutana na mwanamke anaefanya hako ka mchezo hawezi kukuambia kweli,atakaa kimya,hata ukimwambia"nataka na huku"atagoma,ukilazimisha atakubali,lakini wakati wa tendo utashangaa njia haina nyasi,ikimaanisha watu walishapita zamani!
 
They should dare to talk openly.................!!!!!!!!!!! LOL
 
Hawatakuamini, watakuona kuwa umzushi, watasimama upande wa huyo jamaa kumtetea kuwa unamsingizia..................................

mimi ndo mwenye kujua ukweli nitasimama na msisitizo wangu, wakishindwa kunielewa(nahs mwanaume atazidisha huduma kwao ili aonekane mwema) ntajiepusha nao kwa muda. Kama naishi nao nyumba moja ntaondoka kwa muda, nisiwasiliane nao huku nikijipanga namna ya kukabiliana na maisha.
 
Yaani my Daughter una akili wewe.................. kuna wanawake wengi kiasi cha kutosha ambao wanaishi kwenye uhusiano wenye kila aina ya unyanyasaji, lakini katu hawafikirii kutoka katika uhusiano huo............. Na sababu kubwa ndiyo hiyo uliyosema, 'wanaongozwa na yale wanayopata badala ya wanayoamini.'
Kwanza jambo lenyewe halifanywi hadharani, unafikiri kitakachokwenda akilini kwa mwanamke huyo ni kitu gani............! 'Ngoja tu nimkubalie, kwani ni nani atajua?'

Hehehhe nimependa hiyo "kwani nani atajua". . . as long as no one knows there is no one to judge.Hiyo inafanya hata mambo mabaya yasionekane ni mabaya sana kwenye macho yamtendaji maana hamna anaejua.
 
Kwa hiyo tukubali kuwa kuna uwezekano asilimia 75 ya wanawake wakakubaliana na jambo hilo kimya kimya!.................................. 'Kwani nani atajua?'
 
Kwanza kwa nini wakulalamikie? Wao hawana tigo zao? Si wampe jamaa?
Afu mi naona kama ni kudhalikika. Familia nzima mnahemea kwa shemeji jamani? Ina maana hamuwezi kufikiria hata ufundi baiskeli mkaweza kujitegemea?
Hao watakaonilalamikia nitawaambia wakapange nyanya wauze, wapate asali na maziwa,
nikiona hawanielewi nitahama niwaachie nyumba.
 
Utakuwaje tegemezi?

1.Kwa kukosa maarifa na msukumo wa kujituma. . .
Unakuta mtu hajasoma hivyo inakua ngumu kupata kazi inayorequire kisomo. . . zile za kawaida na ujasirimali anapuuza maana hapendi kujituma.
2.Malezi na mazoea. . .
Kuna watu katika kulelewa kwao walizoe kila kitu kinatoka kwa baba/mama mpaka umri ambao ni mkubwa sana.Yani wanaendekezwa. . . sasa ikitokea yule mzazi hayupo tena au hana uwezo wa kumpa mahitaji yake mtoto (ambae ni mtu mzima sasa) anatafuta pengine pa kutegemea maana hakufunzwa kujitegemea.Watu hua wananyanyasika kweli kwa hii hali. . . ndio maana ni muhimu kuwafundisha watoto kujitegemea kihisia. . . kimatendo na kimawazo.
3.Kutokujiamini. . .
Hii inaweza kuzaliwa namba mbili hapo juu. . . au ikawa tuni matokeo ya low-self esteem and morale.
4.And then there is the Dependent Personality Disorder. . .
Unakuta mtu yeye kama yeye haamini kwamba anaweza kujitosheleza mwenye (emotionally. . financially. . .au hata kimawazo) Yani lazima ategemee watu wengine. . . hivyo ndivyo alivyojengeka.
 
Kusudi haiambiwi pole
 
Dingi, sio habari ya nani atajua! Mapenzi ya demands za namna hii mwisho wake haujulikani. Kesho akikuambia mi nataka 'gang sex' utamjibuje ilhali ushajilipua. Dawa ya mapenzi ya siku hizi ni kuwa a 'selfish bitch', never go out of ur way to please ur partner becoz tomorrow might never come!
Kwa hiyo tukubali kuwa kuna uwezekano asilimia 75 ya wanawake wakakubaliana na jambo hilo kimya kimya!.................................. 'Kwani nani atajua?'
 
Kwa hiyo tukubali kuwa kuna uwezekano asilimia 75 ya wanawake wakakubaliana na jambo hilo kimya kimya!.................................. 'Kwani nani atajua?'

Mmmh labda tuseme "wanawake tegemezi" na sio wanawake tuu.
Mtu ambae sio tegemezi atafanya kwasababu yeye ameridhia (anapenda. . .taka. . .tamani) bila kujali uzuri au ubaya wa tendo . . . badala ya kufanya kwa kulazimika huku akijipa moyo kwamba "hamna atakaejua".
 
Hili nalo neno,mwanamke tegemezi mara nyingi,hajipendi na hajitoshi,anategemea hayo kwa mumewe!Huyu akiwa mfujaji hapo ndo na vifo pamoja na watoto wenye mambo kama ya Michael Jackson hutokea!
 
Kwanza kwa nini wakulalamikie? Wao hawana tigo zao? Si wampe jamaa?
Afu mi naona kama ni kudhalikika. Familia nzima mnahemea kwa shemeji jamani? Ina maana hamuwezi kufikiria hata ufundi baiskeli mkaweza kujitegemea?

Aiyaaaa.......Mwanangu, mimi sikutaka usome hii maneno, siku nyingine uwe unaniuliza kabla ya kufungua................LOL
 
Na kweli tunaendekeza wenyewe. Kuna mtu akipata mteremko (nimeona hata wanaume na ndugu zao wanategemea mwanamke). Unajiskiaje kurudi nyumbani ndugu zako wamejaa wanagombea remote? Wababa wazimaa. Na wamama watarajiwa? Nadhani malezi yanachangia!
Hehehe I guess not.
Ila jamii yetu inachangia kwa kiasi kikubwa kujenga watu tegemezi.
 
Dingi, sio habari ya nani atajua! Mapenzi ya demands za namna hii mwisho wake haujulikani. Kesho akikuambia mi nataka 'gang sex' utamjibuje ilhali ushajilipua. Dawa ya mapenzi ya siku hizi ni kuwa a 'selfish bitch', never go out of ur way to please ur partner becoz tomorrow might never come!

Mh!Punguza hasira mama,by the way,tangu dunia imeumbwa mpaka leo kesho haijawahi kufika,one who stand for nothing will fall for anything!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom