Ingependeza kama wanawake wakijibu swali hili

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,395
Hebu tuchukulie kwamba, una mwanaume ambaye hamjaoana, lakini ndiye unayemtegemea kwa kila kitu. Amekuwa akiwasaidia sana ndugu zako ili wafikie malengo yao katika maisha, na anajitahidi sana kukupa karibu kila kitu, unachohitaji katika maisha.

Lakini………… Mwanaume huyu anaanza mchezo wa kutaka mfanye mapenzi kinyume na maumbile. Anataka jambo hilo kwa njia ambayo anaonesha kabisa kwamba lisipotendeka mtaachana, na huduma zote ulizokuwa ukifaidika nazo wewe na ndugu zako zitakoma. Hebu niambie, kama ni wewe ungefanyaje kwenye hili?
 
bora huduma zife.....tutatafuta utaratibu mwingine.....
 
Kweli! Yaani kabisaaa, unakataa, naamini ndugu zako hawatakuelewa na watakushambulia sana, kumbuka kwamba walishazoeshwa asali na maziwa..............................
 
kwani uwaze ushetani kama huo. Mtu Mwema atapata mwema mwenzake maana anajua wapi atampata hivyo achana na vitu vya kufikirika na tafuta ukweli ndio unahitajika zaidi.
 
Utegemezi ni ugonjwa mbaya zaidi ya ukoma.

Neway kama uko tayari na huamini unaweza kupata msaada kwingine unajitoa mhanga. . . Kama unajiamini unaenda tafuta ATM nyingine. . ikiwa ulipata ya kwanza surely you can get another.
 
namwaga tu, ndugu wakilalamika ntawaruhusu waende wakatigo-liwe

Hawatakuamini, watakuona kuwa umzushi, watasimama upande wa huyo jamaa kumtetea kuwa unamsingizia..................................
 
...........bado darubini yangu haisomi kabisa ni lini 'vita hii' itaisha!jamani mimi mwanaume msije mkanidhalilisha kwa kuniuliza jinsia yangu.
 
hili swali hakuna ke atae jibu ukwel, unajsumbua tu. Hata mm cwezi ila hayajankuta kuweza toa jbu sahh.
 
Utegemezi ni ugonjwa mbaya zaidi ya ukoma.

Neway kama uko tayari na huamini unaweza kupata msaada kwingine unajitoa mhanga. . . Kama unajiamini unaenda tafuta ATM nyingine. . ikiwa ulipata ya kwanza surely you can get another.

Si umeona sasa! tuweni wakweli, kama alivyosema My Daughter Lizzy, utegemezi unaweza kusababisha ukauza utu wako............... Hii mada ni tafsida tu, hebu angalieni kinachotokea katika nchi yetu, Cameron kasemaje!? Viongozi wetu watasimamisha mishipa ya shingo kupinga, lakini tunao ubavu huo! Utoke wapi!?
 
Kweli! Yaani kabisaaa, unakataa, naamini ndugu zako hawatakuelewa na watakushambulia sana, kumbuka kwamba walishazoeshwa asali na maziwa..............................

wao wanishambule watakavyo.....lakini msimamo ni huo....
 
hili swali hakuna ke atae jibu ukwel, unajsumbua tu. Hata mm cwezi ila hayajankuta kuweza toa jbu sahh.

Mimi hata sikujui, hata ukikubali kwamba utakubali huo mchezo, wala hakuna atakayekujua..................
 
Kweli! Yaani kabisaaa, unakataa, naamini ndugu zako hawatakuelewa na watakushambulia sana, kumbuka kwamba walishazoeshwa asali na maziwa..............................

Hao watakaonilalamikia nitawaambia wakapange nyanya wauze, wapate asali na maziwa,
nikiona hawanielewi nitahama niwaachie nyumba.
 
hili swali hakuna ke atae jibu ukwel, unajsumbua tu. Hata mm cwezi ila hayajankuta kuweza toa jbu sahh.

Heri wewe umesema kweli madam, maana majibu ya maswali mengine hayapatikani papo kwa hapo. Kuna wakati lazima mtu atajiuliza mengi na kupima hasara na faida za uamuzi wake. Wapo ambao sodomy ni sehemu yao ya sexual practice, lakini hapa lazima atajishebedua eti hawezi fanya hiyo kitu ili hali anafuhia hiyo tabia ya kukaanga chapati na 'actually' hawezi bila pata hiyo kitu!
 
Si humu JF kuna slogan inasema Great Thinkers, we dare to talk openly...............! Sasa kwa nini wanawake waogope hili swali!?
 
Heri wewe umesema kweli madam, maana majibu ya maswali mengine hayapatikani papo kwa hapo. Kuna wakati lazima mtu atajiuliza mengi na kupima hasara na faida za uamuzi wake. Wapo ambao sodomy ni sehemu yao ya sexual practice, lakini hapa lazima atajishebedua eti hawezi fanya hiyo kitu ili hali anafuhia hiyo tabia ya kukaanga chapati na 'actually' hawezi bila pata hiyo kitu!

@mtambuzi na rejao naona bado mwaishi utopia world kwamba mtu atajb kwel hapa hali nishambiwa mwajuana. Sante ndyoko naona umenpata
 
Si umeona sasa! tuweni wakweli, kama alivyosema My Daughter Lizzy, utegemezi unaweza kusababisha ukauza utu wako............... Hii mada ni tafsida tu, hebu angalieni kinachotokea katika nchi yetu, Cameron kasemaje!? Viongozi wetu watasimamisha mishipa ya shingo kupinga, lakini tunao ubavu huo! Utoke wapi!?
Mtu akishakua tegemezi,yani tegemezi haswa anaweza kufanya chochote kile hata kama hapendi wala hakuwahi kufikiria angefanya hivyo. Maana watu kama hao wanaongozwa na yale wanayopata badala ya wanayoamini.Ndio maana wengine wanatolewa manundu asubuhi,usiku na mchana ila hawathubutu kuondoka japo wanatamani kufanya hivyo.
 
Yaani my Daughter una akili wewe.................. kuna wanawake wengi kiasi cha kutosha ambao wanaishi kwenye uhusiano wenye kila aina ya unyanyasaji, lakini katu hawafikirii kutoka katika uhusiano huo............. Na sababu kubwa ndiyo hiyo uliyosema, 'wanaongozwa na yale wanayopata badala ya wanayoamini.'
Kwanza jambo lenyewe halifanywi hadharani, unafikiri kitakachokwenda akilini kwa mwanamke huyo ni kitu gani............! 'Ngoja tu nimkubalie, kwani ni nani atajua?'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom