Ingelikuwa wewe utafanyaje!!!!

Katika yote haya sijasikia wewe kufikiria mtazamo au hukumu kwa Muumba wako.

Ukishakutafakari hilo nafikiri hutapata shida
 
usije ukakubali,ukaona ni easy.fikiria baadae,huyo dada ana frustration zake,anaona njia ya mkato ni hiyo.muheshimu kama mwenyewe unavyosema.na umueleze ukweli kuwa hicho kitu hakiwezekani.huruma huruma,saa nyengine huponza.kuhusu sperm hata kwenye internet zinauzwa.unachagua mwenyewe kama unataka mchina,muhindi,muarabu,mzungu au mtu muafrica.ni hela yako tu. wanaume wa kukupa ujauzito na kusema,wamejaa tele,kama mwenyewe yupo tayari kulea mwenyewe.lakini kama wewe una mke wako,mpe heshima mke wako,usije ukajuta,mtoto ni for life

Good point,

Sasa nimkatalie kwa njia ipi anielewe kwani anaweza kusema anataka sperm zangu kwasababu ya genes zangu. Isitoshe anaweza kunijibu basi haina shida kumbe moyoni ndio nimemuongezea frustration zaidi ikawa kasheshe nyengine (maana amempiga chini mchumba wake na mie naongeza ndimu katika kidonda) mwishoe ikawa ndio mwanzo wa uadui.
 
Yani huyo angekutana na strikers mbona angepewa kikombe kizima cha maji tena kwa straw
 
Duh! Mambo kama haya...hebu tafuta ile Novel ya marehemu Shaaban Robert..inaitwa.. "Kusadikika"..
 
Good point,

Sasa nimkatalie kwa njia ipi anielewe kwani anaweza kusema anataka sperm zangu kwasababu ya genes zangu. Isitoshe anaweza kunijibu basi haina shida kumbe moyoni ndio nimemuongezea frustration zaidi ikawa kasheshe nyengine (maana amempiga chini mchumba wake na mie naongeza ndimu katika kidonda) mwishoe ikawa ndio mwanzo wa uadui.
kama nilivyokwambia,huruma nyengine inaponza.hiyo si juu yako wewe.endelea kuwa rafiki yake wa kawaida tu.na ikibidi urafiki wako na yeye uupunguze.heri nusu shari,kuliko shari kamili.deep down unajua kama ni wrong,usitake kulazimisha vitu ambavyo,utakuja kuvijutia baadae.mke wako akija kujua hatokuamini tena
 
Kuna mdau ameniPM naomba nimshukuru sana kwa ushauri wake murua.

Kuhusu kushauriana na mke siamini na sidhani itakuwa jambo la busara kuzungumzia hilo jambo kwake kwani fikra ya kwanza kwa wanawake wengi ni inawezekana nimetembea naye huyu dada wakati sio kweli.

Ushauri wa pili ni kuachana naye lolote litakalokuwa na liwe (huu nauafiki) kwasababu mke wangu is too precious to let her go ijapokuwa hilo linaweza kuhatarisha ufanisi wangu wa kazi kwasababu ushirikiano niliokuwa naupata kutoka kwake kikazi sijui utaendelea au ndio basi ? Lakini ya leo kali!

Je sasa nimkatalie kwa njia gani ya kistaarabu. Nikae naye kuzungumza naye kwa ustaarabu. Nimpeleke sehemu weekend nimjibu nikiwa na pombe kichwani kwamba no (maana pombe inasaidia kuondoa stimu za aibu). Mwisho kabisa nimtumie mtu wa makamo amueleze kiustaarabu? Au vyote hapo juu havifai?
 
Yani huyo angekutana na strikers mbona angepewa kikombe kizima cha maji tena kwa straw

Mkuu,

Unaweza kujaribu bahati yako nenda Maisha Club unaweza kumpata but uwe na hela ya kutosha tu. Mie sio katika members hao nimeshastaafu hayo mambo.
 
Naona ninapata masuali mengi kuliko majibu nawaulizeni nyie Je ingelikuwa wewe ungelifanyaje kwasababu ameumbika huyu dada na angelikuwa anataka za chap chap ningelimpa ila hili la mtoto mh?[/QUOTE]

Hapo ndo napata shida kweli ya kujua hasa dhamira yako.......
siku zote wanawake warembo ni sumu kweli kwa wanaume wenye ndoa zao....
kweli uanaume ni kazi lol......
fanya yote kaka, lakini usithubutu kuzaa nje ya ndoa........take my words
 
Mwite umshauri kama ni kweli hutaki kulala nae maana inaonekana shetani ameshawaingia na upo uwezekano wa sio tu kudonate sperms bali pia kuharibu kabisa ndoa yako yenye furaha na amani ,nakushauri umkimbie hafai huyo ,uzuri wa mkkakasi ndani kipande cha mti.kama dini zenu zinaruhusu kuoa mke wa pili sawa muoe ila msizini wala kudonate sperms zote ni haram.
Kwani ww mkeo mbaya ? basi ujue ukijichanganya atajua na anaweza kuamua jambo ambalo na ww utajutia .fikiria kama my wife wako nae akipendwa na mtu na akaombwa amzalie mtu mtoto kwa staili kam hiyo utaipenda!!!!!
kama itakuumiza basi usimuumize pia
Tatizo kamanda nitamkimbiaje wakati nakutana naye kila siku ofisini? Kama sijamuona nikiingia asubuhi ofisini nitakutakana naye lunch, au corridor za ofisi au mlangoni. Kuacha kazi itakuwa ngumu maana ndio mlo wa familia unatokea hapo. Ndio kwasababu nakosa majibu ya wapi nitokee ametibua plan zangu za leo acha tu!
 
Hebu think and act like a man wewe. Yaani utafanya kila unaloambiwa for the sake of team work? Usiwe na akili za kushikiwa maana akigundua jinsi unavyojidai una value mahusiano yenu atakupangia kazi ya kudeki nyumba yake twice a week na utaenda ili kazi zisiharibike. Mwambie unamheshimu sana na kumthamini kama mfanyakazi mwenzio ila alichokuomba hakiwezekani. Mweleze kuwa umeoa(asijisahaulishe) na unaiheshimu na kuipenda familia yako na unaomba naye aiheshimu pia. Akinuna au akicheka atajijua na kazi zitaendelea tu. Ukikubali tu kumpa mimba directly or indirectly ujue umeichimbia kaburi ndoa yako.
 
Ukiruhusu ukae nae faragha ujue mtavunja amri ya sita atakuganda zaidi ya ruba!!!!!! wamjua wee ruba ,try and you will regret

Kuna mdau ameniPM naomba nimshukuru sana kwa ushauri wake murua.

Kuhusu kushauriana na mke siamini na sidhani itakuwa jambo la busara kuzungumzia hilo jambo kwake kwani fikra ya kwanza kwa wanawake wengi ni inawezekana nimetembea naye huyu dada wakati sio kweli.

Ushauri wa pili ni kuachana naye lolote litakalokuwa na liwe (huu nauafiki) kwasababu mke wangu is too precious to let her go ijapokuwa hilo linaweza kuhatarisha ufanisi wangu wa kazi kwasababu ushirikiano niliokuwa naupata kutoka kwake kikazi sijui utaendelea au ndio basi ? Lakini ya leo kali!

Je sasa nimkatalie kwa njia gani ya kistaarabu. Nikae naye kuzungumza naye kwa ustaarabu. Nimpeleke sehemu weekend nimjibu nikiwa na pombe kichwani kwamba no (maana pombe inasaidia kuondoa stimu za aibu). Mwisho kabisa nimtumie mtu wa makamo amueleze kiustaarabu? Au vyote hapo juu havifai?
 
Hebu think and act like a man wewe. Yaani utafanya kila unaloambiwa for the sake of team work? Usiwe na akili za kushikiwa maana akigundua jinsi unavyojidai una value mahusiano yenu atakupangia kazi ya kudeki nyumba yake twice a week na utaenda ili kazi zisiharibike. Mwambie unamheshimu sana na kumthamini kama mfanyakazi mwenzio ila alichokuomba hakiwezekani. Mweleze kuwa umeoa(asijisahaulishe) na unaiheshimu na kuipenda familia yako na unaomba naye aiheshimu pia. Akinuna au akicheka atajijua na kazi zitaendelea tu. Ukikubali tu kumpa mimba directly or indirectly ujue umeichimbia kaburi ndoa yako.

Mkuu,

Wazo lako sio baya ila kwa namna ya kuliwakilisha napata tabu kidogo. Kama kuna viumbe wanahitaji diplomasia na upole wa hali ya juu ni akina mama. Ukimjibu mwanamke bluntly kama unavyoshauri unaweza kujiharibia kibarua mkuu. Nitakupa mfano hapa ofisini alikuja mwanadada mmoja miaka 40-50 mzungu kuja kushirikiana nasi kikazi. Kuna siku moja alivaa nguo iliyomuonyesha mikunjo yake ya kuonyesha umri umekwenda. Sote tuliona ile nguo haijampendeza ila mwenzetu mmoja alikurupuka akamjibu leo nguo uliyovaa inaonyesha umezeeka sasa.

Mie nikamuita pembeni nikamwambia umekosea sana kumwambia vile kwasababu mwanamke wa miaka 40-50 wanakuwaga na middle age crisis na huwa na hasira sana wakiambiwa vile na uombe menopause iwe haijaanza maana hasira zinazidi mara 100. Kilichotokea ni kama nilivyokuwa nafikiria yule mwenzetu hakufanya nae kazi yule na yule dada wa kizungu tena. Isitoshe akatokea kumchukia sijawahi kumuona akiongea nae tena ofisini hadi alipoondoka.

Hivyo mkuu nishauri njia ya kidiplomasia ya vipi nimfikishie ujumbe kuwa sitaweza kumsaidia shida yake hii ya george bush ya ubabe nakuachia wewe!!!
 
Ukiruhusu ukae nae faragha ujue mtavunja amri ya sita atakuganda zaidi ya ruba!!!!!! wamjua wee ruba ,try and you will regret

Mh! Sasa unafikiri nifikishe vp ujumbe? Kutumia mabosi sidhani kama ni njia muafaka kwangu na kwake (private issue), Kumfata ofisini si ndio itakuwa faragha yenyewe anything can happen. Mtu wa kuongea naye sijampata bado ila sijaliafiki hili wazo kwasababu yeye amepata ujasiri wa kuniambia mie sidhani itakuwa vizuri mie nikose ujasiri wa kiunamume kumwambia haitawezekana kwa taarifa ya maneno au maandishi.
 
Kama mimi ningefunga kwa Imani yangu na kusali kwa bidii, na kumuombea huyu dada aliyekata tamaa. Ningekimbia kwa miguu miwili nisigeuke nyuma, maana rafiki wa kweli ni upendo wa dhati utakao kwa mungu wako. Huyo ni binadamu urafiki wake utaishia wapi?. Angalia usidondoke kama umeshadondoka Tubu kwa Imani yako.
 
Kuna mdau ameniPM naomba nimshukuru sana kwa ushauri wake murua.

Kuhusu kushauriana na mke siamini na sidhani itakuwa jambo la busara kuzungumzia hilo jambo kwake kwani fikra ya kwanza kwa wanawake wengi ni inawezekana nimetembea naye huyu dada wakati sio kweli.

Ushauri wa pili ni kuachana naye lolote litakalokuwa na liwe (huu nauafiki) kwasababu mke wangu is too precious to let her go ijapokuwa hilo linaweza kuhatarisha ufanisi wangu wa kazi kwasababu ushirikiano niliokuwa naupata kutoka kwake kikazi sijui utaendelea au ndio basi ? Lakini ya leo kali!

Je sasa nimkatalie kwa njia gani ya kistaarabu. Nikae naye kuzungumza naye kwa ustaarabu. Nimpeleke sehemu weekend nimjibu nikiwa na pombe kichwani kwamba no (maana pombe inasaidia kuondoa stimu za aibu). Mwisho kabisa nimtumie mtu wa makamo amueleze kiustaarabu? Au vyote hapo juu havifai?

we jaribisha tu hii kama hujaja hapa kuomba ushauri wa kuokoa ndoa yako baadae baada ya 'kumpa' maji huyo dada mojakwa mojja bila hata kwenda south wala nini.chezea konyagi wewe!mtu unamtamani,ye mwenyewe anajilengesha,eneo la fargha afu unazo kadhaa kichwani,eti,'maongezi'?!utamchapa huyo afu sheshe lake litakuwa kubwa kuliko!wacha kabisa hiii mawazo jamaa!
 
Nimesoma shauri zote hapo juu. na kinacho nishangaza unapinga kwa njia moja au nyengine. so we vulia maji nguo yakoge2 ajali kazini 'inzi kufia kidondani ni hakiyake' mungu ka2leta duniani 2ongezane. ila kiukweli mimba ikikaa jua jukumu la kulea unalo hiyo nigia ya kukupata. laiti kungekuwa na vidonge kwa wanaume vya kuzuia mimba ningekwambia 2mie ili ufaidi urembo unao utolea mimacho na udenda. ila chondechonde kupima ukimwi lazima usije ukampelekea mwenzio gonjwa. maisha matamu bila maradhi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom