Ingekuwa wewe ungefanyaje?

Jamaa yangu wa karibu ameoa na wana watoto watatu.

Miezi miwili iliyopita wife kamuaga anaenda kwa dada yake kumsaidia kwani yu mgonjwa.

Jamaa akamruhusu bila hiyana. Baadae mchana katika pitapita zake jamaa uso kwa uso na huyo dada aliyetajwa na mkewe kuwa mgonjwa. Kwa ustaarabu jamaa hukumuliza shemeji yake kulikoni mgonjwa kuzurura mjini.

Nae dada mtu akauliza hali ya mdogo wake. Ilipotimu saa 3 usiku mke akarudi kwa maelezo kuwa amechelewa kwa sababu mgonjwa hali yake bado mbaya. Jamaa akampa mkewe pole na bado anatafuta ushauri wa nini cha kufanya.

Je wewe ungefanyaje?

Upuuzi wako peleka Facebook, huku kuna watu wazima
 
!
!
pale pale tu aliporudi......ningemtisha ka nampa kibao cha kushoto, akimbwela nampa bao la kulia. Nakata mtaja kimo cha mbuzi akianguka namsinya. Halafu namwambia "kenge" we.
 
Huyo mke anawashwa pilipili hawez tulia tena. Tupa kuleeeeee
 
Back
Top Bottom