Ingekuwa we ungefanyaje??!!...

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
mama alitoka job, kuingia tu ndan
mwanae mdogo kampokea na kumwambia mamy subr nikuammbie kitu, mama akamkatisha, akamwambia utaniambia baadae coz saa hz naenda
kupika,
akiwa anapika mtoto kaanza "mama leo...." mama akamkatisha tena,
bas baadae wakiwa wamekaa wote dining wanakula yaan familia nzima
mtoto akanzisha tena,
"mama bas leo alikuja auntie Rose akamkuta
dady....,
mama akaitikia ahaaaaa,
mtoto akaendelea baba akambeba
akamkalisha palee> akionesha mezani,
mama enhe,
(hapo baba chakula kishakuwa kichungu), mtoto akaendelea halafu akambeba tena
akampeleka chumbani kwetu(mtoto alikuwa bado analala na wazaz),
kisha akamvua nguo,
( hapo baba
jasho linamtoka mwili mzima akijua kaumbuka)
mama kwa hasira enhe...ikawaje,
mtoto akasema, akamlaza kitandani,
na yy akavua nguo halaf akamlalia wakaanza kucheza
.
.
.
.
.
.
.
kama we unavyochezaga na uncle
John....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom