Ingekuwa vipi................?

Salama kaka,
Sikunyingi aiseee. Hua naingiaga but najikutaga nasikia aibu mwenyewe mpaka nashindwa kuchangia mada za kule lol!
Salama sana Dada. Kasoro kidogo sijakujua. Red imekutoa kweli.
Hahaha! Kule kugumu aisee. Mtu unaingia uko peke yako bado unahisi kuna mtu pembeni anakuangalia.

Hiyo ya kutochangia ni poa, unaingia kimya kimya, unatoka kimya kimya bila ya kuacha alama za vidole kwenye eneo la uhalifu.
 
Hhhah hahah hahah,
Hizo mbwembwe za wiki end tu!

Kule bwana style ndio hiyo unaingia kimya kimya na kutoka kimya kimya na hivi siku izi hawaoneshi nani yuko jukwaa gani mda huu mpaka uende kwa profile!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom