Ingekuwa vipi................?

mie kule duh...wewe nenda tu...uje kuniambia ulichoona...
Hahah hhahah,
Nimeenda kuangalia ila ujasiri wa kuchangia nimekosa,nashangaa vidole vimelea jasho na kutetemeka nimeshindwa kutaipu,
Labda nitembelee usiku mchana huu nimehisi hata hapa ofisin nipo mwenyewe but nahis wenzangu wananiona lol!
 
Umeona eee,
Ila kunawatu baba wamepazoea kutwa nzima wako kule,mie naanza mazoezi kidogo kidogo lol!

yaani kuna siku nilipitia majukwaa yote na nilipochoka nikasema ngoja nitinge pale mwisho kabisa ..dah kuna JF mmoja nilibaki namshangaa eeh hata huyu huku ni kinara ..was like aaah can't believe ma aizii ......
 
FL weee acha tu,tena watu wanafunguka mbaya,wanatoa yote ya moyon mpaka ukisoma unaangalia pande zote kuhakikisha ulipo lol!
 
Tungechakachua topiki za watu kule kwenye siasa...
Aka nenda mwenyewe,
Mambo ya kupata ugonjwa wa moyo na kuishia jela nani anataka,
Hata kwa fimbo kule siendi na nikitaka kusoma ishu za kule nalog out na kuingia km guest hata nikipata mzuka siwezi kuandika chochote lol!
 
Umeona? Mtambuzi akiandika ni lazima aandika 1000 words!
Ila hapa post ya kuanzisha thread kaweka kafupiiii... but katam! lol
Ukiachia mbali idadi ya maneno, mimi nilipoona tu Mtambuzi kaweka post siku ya Jumanne, nilijiuliza kunani leo? Nikakumbuka aaaaah!, kumbe J4 ilikuwa Chitchat Day - Full Kujuachia kwani wakulu wote walikwenda kwenye uchaguzi wa wabunge.

Kwa taarifa yako hiyo maneno kaweka mama yake CANTA.......Mama Ngina.........!
Kumbe Ma ma Ngina (MamaCanta) alinyemelea keyboard?!
 
Mbona hata mie mkubwa but nikiingia huko najiona mdogo lol!

Walikua na akili sana kuweka access kwa ruhusa maalum lol!

"Curiosity killed a cat". Angalau wewe umesema unaingia uningia, lakini kuna mwengine ukimnasa kule ukimwuliza "unafanya nini hapa?" anaanza kupata kigugumizi cha vidole kwenye keyboard, anadai "aaah miye, aaah kwa sababu maana yake ilikuwa...nimepotea njia, Ni LEO TU"
 
Salama kaka,
Sikunyingi aiseee,

Hua naingiaga but najikutaga nasikia aibu mwenyewe mpaka nashindwa kuchangia mada za kule lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom