Ingekuwa vipi?

Mimtamu

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
368
105
Ingekuwa vipi kama Mungu akawaondoa wanawake wote ktk uso wa dunia.

wanaume wangeishi style gani ya maisha? ukizingatia kuna baadhi usafi kwao unasababishwa na wanawake
 
hao wanawake wawe wamepelekwa wapi kwa mfano....coz kama sio mbali mimi nitarudi....
 
we we we weh!huruhusiwi hata kuwaza mambo hayo we dada we,mungu asije akafanya kweli bure halafu maisha yakawaje sijui!!hebu achca bana,wengiine hata ku-imagine hiyo tunaogopa,WANAWAKE LAZIMA MUEENDELEE KUWEPO,LABDA MUNGU ATUFUTE WOTE!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom