Ingekuwa vipi urudiwe mpambano wa kwanza unit vs the diplomatiz

Nimewakumbuka sana wasanii waliotingisha muziki wa kizazi kipya miaka ya 90's

Kwanza Unit (Adili -Nigger One R.I.P, D-Rob Zomba R.I.P, Kibacha -K single, Y Thang, Fresh G, Chief Ramson - Zavara) Mimi msafiri, Haturap, Upanga

Diplomatiz - Saigon, Dolasol - Balozi, Chris, Stiggo,Ibony -Turuke, Are you down, Blah blah

saleh jabir alitisha saana
 
Usinikumbushe mkuu...natamani siku zirudi nyuma.
 
Nimewakumbuka sana wasanii waliotingisha muziki wa kizazi kipya miaka ya 90's

Kwanza Unit (Adili -Nigger One R.I.P, D-Rob Zomba R.I.P, Kibacha -K single, Y Thang, Fresh G, Chief Ramson - Zavara) Mimi msafiri, Haturap, Upanga

Diplomatiz - Saigon, Dolasol - Balozi, Chris, Stiggo,Ibony -Turuke, Are you down, Blah blah

I was boorn in Africa yeeea I was boorn in Tanzania yeea I was born in the city of dsm I was booorn !!!!
 
Ingekua vipi angekua hai D-Rob?
Na Chief Ramson angekua Bongo?
Y Thang kwa kidato, Umrudishe K-Single,
Kwanza ingekua mfano, kwa Ma-MC wa Bongo,
Nani angekua mzigo, na nani angekua Widow?

Mwana fa ft j mo, ngoma tamu sana hiyo.
 
Watu wanawaongelea sana Sugu na Prof Jay kama ndo waanzilishi wa bongo fleva..lakini ni kosa kubwa sana kuwasahau malegendy kama hawa ambao kupitia wao na harakati zao ndo kiliwapa molari wakina sugu na Jay kufanya mziiiki...natamani itokee japo radio moja angalau kwa wiki iwe inakumbushia mautamu haya ya wakina KU,diplomatz na wengineo...kama akitokea producer akaamua kutengeneza walau documentary fupi tu ya hawa jamaa,uyo producer atakuwa bilionea soon....TRUE LEGENDS of bongo fleva tutawakumbuka daimaaaaaa
 
Enzi hizo nilikuwa narekodi kaseti za dingi ngoma za hao wanyamwezi. Na mpaka salsa ninazo ingawa quality iko chini sana.
 
Nani kama zavara
Zavara wote sema zavara
Kwanza unity walikua hatari
vile vilikua ni vipaji vya kweli
kipindi hiko beat ni
kick na snare tuuu...

Individuals Jabir Swalehe,Kibacha,D-Rob,Saigon,Adili natamani watu wangewaelewa!

Ujio wa Hardblasters haukua haba pia walileta mabadiliko makubwa japo hawakudumu sana
 
Yamenikuta mzee mwenzangu, sina changu, ama zao ama zangu.

Kwanza unit na goma lao la msafiri ,miaka hiyo nasoma primary
 
Watu wanawaongelea sana Sugu na Prof Jay kama ndo waanzilishi wa bongo fleva..lakini ni kosa kubwa sana kuwasahau malegendy kama hawa ambao kupitia wao na harakati zao ndo kiliwapa molari wakina sugu na Jay kufanya mziiiki...natamani itokee japo radio moja angalau kwa wiki iwe inakumbushia mautamu haya ya wakina KU,diplomatz na wengineo...kama akitokea producer akaamua kutengeneza walau documentary fupi tu ya hawa jamaa,uyo producer atakuwa bilionea soon....TRUE LEGENDS of bongo fleva tutawakumbuka daimaaaaaa
Bongo flava ya kina Kwanzanians and co haikua mainstream ( for all) kama bongo flava ya sahivi walioanzisha akina Jay na Sugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom