Ingekuwa ni wewe ungefanya nini?

Ibang

Senior Member
Dec 15, 2011
121
23
528062_468533023177608_381274333_n.jpg
umepanga chumba katika hoteli ya mbugani asubuhi unaamka hotelini na usingizi ukiwa bado upo kwenye macho umevaa taulo tu mdomoni una mswaki unatoka nje ya chumba chako kwenye balcony halafu unakutana na kitu kama hiki je utafanyaje?? hii picha imepigwa Elephant camp huko karibu na victoria falls

Sylvester surveying the plains for potential prey from the deck of The Elephant Camp
ukianza na wewe halafu ukamwambia rafiki yako amwambie rafiki yake kuwa kwa picha zaidi kuhusu utalii wa Tanzania na Africa unaweza/ anaweza/ wanaweza tembelea facebook page yetu na kulike + kushare

http://www.facebook.com/AfricanTourism



 
Lengo la kwenda mbugani ni kuwatafuta hao wanyama uweze kuwaona libe basi si ndio lengo limekamilika hapo? Unarudi unachukuwa camera yako na utalii unaendelea.
 
namwambia haloo kaka chui wala sio mimi niliyekuchokoza ni swala huyo shikamoo lakini napiga mswaki mara moja.
 
Lengo la kwenda mbugani ni kuwatafuta hao wanyama uweze kuwaona libe basi si ndio lengo limekamilika hapo? Unarudi unachukuwa camera yako na utalii unaendelea.

Don't you ever dare ukiwa mbugani, huyu mnyama hakuna kitu anakichukia kama flash ya camera,the moment utakakapofyatua camera yako ndo the moment kichwa chako kitatengenishwa na kiwiliwili. Ngoja nikupe true story moja. Mwaka fulani nilikuwa Kenya, kuna watalii kutoka Ireland walikuja na kutembea mbuga ya Masai, sasa wakati wapo katikati ya mbuga mtalii mmoja mwamamke akamuona chui kalala kwenye mti juu, akasimamisha gari ili kutaka kupiga picha, magemu walimkatalia lakini yeye akalazimisha. Basi wakakubaliana kwamba wakati atakapopiga picha magemu wote waelekeze bunduki zao kwa chui, la haula, flash ilipowaka tu, walisikia tu kishindo yule mmama akianguka pembeni kafa shingo imekatwa nusu na hawakumuona Chui alikoelekea. So, usijaribu kufanya hivyo kwanza sidhani kama utaruhusiwa na magemu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom