Ingekuwa nchi za wengine kikwete na timu yake wangejiuzuru kwa issue ya umeme!

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa sasa ni takribani mwaka wa sita tangu kikwete alipochukua madaraka ya kuongoza nchi hii lakini tatizo la umeme bado halijapatiwa ufumbuzi. Kinachosikitisha zaidi ni kuona kuwa tatizo hilo ndilo lililomkaribisha ikulu lakini huu ni mwaka wa sita hajalipatia ufumbuzi. Zingekuwa nchi za welevu, leo hii kikwete na timu yake nzima ingekuwa ime-step down na kuwaachia wabunifu, wazalendo na wenye akili wafanye kazi yao.
 
Nchi yetu ni yawaelevu,ila ili la umeme ni tatizo la uongozi na mfumo mbovu wa kutatua matatizo ya jamii .Siasa kwenye mambo ya msingi pia inatupelekea huku pabaya.Jambo la msingi nikuwafumua macho waliolala na waliolizoea giza mana Tanzania sehemu kubwa haina umeme na jamii hizo zimezoea giza.
 
Ma CCM yenyewe yanadai yalipewa Nchi na Mungu na hatuna haki zaidi yao .But iko siku
 
Back
Top Bottom