Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Atleast umetueleza wadau kile ambacho mtoa mada amekificha kwa makusudi, kwa nyongeza tu ni kuwa anamiliki jet mbili zilizonunuliwa kwa fedha ya serikali, zinatumika kwenda kusalimia familia yake ulaya, ana ukabila kupita rais yeyote: washitakiwa na wahanga wengi wa kisiasa ni wahutu. Sasa hivi hapendi kutoka nje kwani unyanyasaji anaowafanyia raia wake unaweza mtokea puani...............:......................................
Mkuu naona unajichanganya hapo kwenye red, benz sio gari la kifahari? na hapo kwenye blue jaribu kuandika vizuri hii thread yako, Paul Kagame the new Hitler