Ingekuwa Bongo aka Tanzania watoto wangeweza kwenda shule?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
CHINA HIYO.png

Huko China kitongoji cha Sichuan, kwa muda mrefu watoto wamekuwa wakishuka na kupanda mita 800 za mlima kila siku kwenda na kurudi shule kwa kutumia njia za kienyeji ambazo ni ngazi za miti.

Hii ingekuwa Bongo watoto wangeenda shule?
 
Aseeh mzizimkavu shikamoo.

Nimeelewa unachotaka kumaaanisha. Ila kila kitu naona ni mazoea eeeh .

Mfano huku Arusha place kama endulen kuna mtoto anaamka asubuhi kila siku kwenda kuchunga anarudisha ng'ombe saa 12 jioni naamini watoto wa Dar kwa hili ni Vigumu.

My point : ingekuwepo sehemu ya kupanda wangepanda tu.
 
Kuna binadamu anaye penda au kuzoea shida? kuchunga ng'ombe na kupanda mlima ni vitu 2 tofautikabisa. Ningelikuwa ndio mimi Mwanangu nisengemruhusu aende shule bora nimfundishe mimi mwenyewe nyumbani au nimtafutie mwalimu apate kumfundisha,kuliko kwenda kumpeleka akatafute kifo kwa ajili ya kwenda shule.
 
Upo sahihi mkuu.. ila namanisha mtu huona kitu ni shida pale panapokuwepo na mbadala bora tofauti na ule uliozoeleka.

Mmasai haoni kumtuma mwanae akachunge ni shida. Ila siku akielewa kuna ufugaji wa kisasa ulio na tija kana wa dernmark ataacha.

Watoto wa China iliwabidi maana no way out
 
Maelezo yako yako tofauti kabis ana mimi nilivyoweka Thread yangu unazungumza vitu tofauti kuupnadamlima na kuchunga ng'ombe ni vitu 2 tofauti kabisa kama ni shule kuna mtihani wa kujieleza umefeli kaka hapo.
 
Hapo lazima na mazoezi ya kuwafanya wawe feat yafanyike daily.
images-1220.jpeg
 
Wazazi wanaelewa umuhimu wa shule ndio maana wanaruhusu watoto waende shule katika mazingira hayo. Turudi hapa kwetu tusijifanye sisi tunaafadhali. Hivi mnajua huko vijijin watoto wanatembea kilometa ngapi kwenda shule na galoni la maji juu, mazingira mengine pia kuna wanyama hatari? Mbaya zaidi umbali wote huo ukifika shule mwalimu ni mmoja tu hapo hatuzungumzii umbali wa zahanati, maji n.k.
 
View attachment 426854
Huko China kitongoji cha Sichuan, kwa muda mrefu watoto wamekuwa wakishuka na kupanda mita 800 za mlima kila siku kwenda na kurudi shule kwa kutumia njia za kienyeji ambazo ni ngazi za miti.

Hii ingekuwa Bongo watoto wangeenda shule?
Ingekuwa Tz ania watu wangeilaumu sana serikali, akina Malisa G wangechukulia kisiasa zaidi,, na wangemtukana sana raisi kwasababu ya hyo ...
 
Daaa
View attachment 426854
Huko China kitongoji cha Sichuan, kwa muda mrefu watoto wamekuwa wakishuka na kupanda mita 800 za mlima kila siku kwenda na kurudi shule kwa kutumia njia za kienyeji ambazo ni ngazi za miti.

Hii ingekuwa Bongo watoto wangeenda shule?

Daaa hatari kweli sipati picha msimu wa mvua wanapandaje . Ila nafikiri ni bonge la shortcut kuliko kuzunguka kufuata njia za gari....wako physical fit balaaa buluuu maana ni bonge la zoezi . hapa kwetu nafikiri wangeishia njiani kuwinda ndege
 
Ingekuwa tanzania, kwanza huo ubunifu wa kuweka ngazi ya mti kwenye mlima usingekuwepo. Kwa hiyo watoto wasingeenda shule kabisa na lawama nyingi zingetupiwa kwa serikali kwa kushindwa kutengeneza barabara. Hujaona na kusikia mtaani jinsi wananchi wanavyoilalamikia serikali kwa vitu vya kijinga kama uchafu na takataka? Wanatupa ovyo uchafu kisha wanataka serikali iondoe hizo taka!!
 
Back
Top Bottom