ingekuwa amri yangu

hii ipotezeee mkuu, imetoka thread nyingine huko huwezi kuelewa kitu

tuendelee kujadili hoja a mezani before smthing else happens here plz..........

with all respect mkuu
 
sasa watwajuaje waloitwa na walojiita?

mtu mwanao kulawitiwa inauma baba .......hakuna anaetaka hii kitu....but solution naona halipatikani kwa urahisi.

kanisa katoliki kuruhusu hii kitu ni ngumu

utawajua kwa matendo yao very simple mkuu alafu ishu yenyewe si ya kibibilia ni lazima iwe na tatizo tu
 
mimi pamoja na familia yangu nimeamua kufanya ibada nyumbani maaana huku makanisani ni unafiki mtupu!!! Mapadri ndo hivyo mitarimbo yao mizuka tupu!! wachungaji chuma ulete lol.....
 
tehe tehe tehe yani mkuu umenivunja mbavu hamu sina hasa hapo kwenye red
 
Hilo ndilo tatizo kubwaa wewe unaomba bikira maria akuombee makosa yako wapi wameandika unaombewa makosa yako ni mungu tu ndio mwenye uwezo ...bikira maria alikuwa mama wa yesu akuna kingine kipya jamani fungurn macho ndio maana najiuliza hivi mawaziri wakuu wa wilaya wamo ndani awafunguki na hili ama wanaogopa wakilifwata neno wataangamizwa na makosa yao....

Wewe kwenye kitubio padre anasali we unapoke atu amen amen...duh naomba nipen dk 10 narudi kuwammwagia neno ndugu zetu
 
karibu mkuu yote kwa wema
 
mimi pamoja na familia yangu nimeamua kufanya ibada nyumbani maaana huku makanisani ni unafiki mtupu!!! Mapadri ndo hivyo mitarimbo yao mizuka tupu!! wachungaji chuma ulete lol.....

Unapoenda Nyumba ya Ibada unakuwa unafanya hivyo kwa imani gani Mkuu? kwa imani ya Padri au ya kwako wewe au ya nani? unaipotosha familia yako. kufika nyumba ya ibada na kupiga magoti kutubu dhambi zako kuna maana na thawabu kubwa sana kwako.

Huyo Mchungaji, Paroko au Imamu hawezi kabisa kuchezea imani yako, yeye kama ni mzinzi, mwizi na mengine yanayofanana na hayo nothing to do with you.

Kubali ushauri wangu rudisha familia kundini fasta utaisambaratisha shetani atatumia mwanya huo huo kuiteketeza.
 
mkuu bibilia inasema walipo wawili au watatu kwa jina langu na mm nipo pamoja si lazima kanisani
 
Drphone asante kwa jibu zuri kwa mkuu wetu!! unajua nimeshachoka na haya mathehebu kila mahali hapaeleweki...wakati tukiwa wadogo haya mambo yalikuwa hayasikiki hata kama yalikuwepo basai ilikuwa ni siri yao lakini sasa mambo hadharani nio maana ulaya wenzetu wamegeuza yale makanisa ni maeneo ya biashara maana usanii ulizidi sasa naona nasi tunaelekea kule kule...
 
kumbe hata nikianzisha misa nyumbani na familia yangu ni vyema sana
 
usipotoke mtumishi

imeandkwa msiache kukusanyika madhabahuni kila iitwapo leo na akuna chumbani hapo..utatusaidiaje ussisambaaratishe familia yako ingawa binafsi naona ishapotea na kama traffic light iko kwenye nyekundu ila kwa sababu zinarudigi tena kijani tunaweza kuirudisha njano kwenda kijani.
ppeleKA MADHABAHUNI WAPENDWA HAO USIENDE WEWE WAACHE WAENDE
 
kumbe hata nikianzisha misa nyumbani na familia yangu ni vyema sana

he shemasi na wewe unataka kutoka kanisani
si wote tutarusi nyumbani;usifanye hivyo bana
utatupoteza wengi afadhali mmuumini wa kawaida si wewe
tenda neno shika neno
 
Drphone asante kwa jibu zuri kwa mkuu wetu!! unajua nimeshachoka na haya mathehebu kila mahali hapaeleweki...wakati tukiwa wadogo haya mambo yalikuwa hayasikiki hata kama yalikuwepo basai ilikuwa ni siri yao lakini sasa mambo hadharani nio maana ulaya wenzetu wamegeuza yale makanisa ni maeneo ya biashara maana usanii ulizidi sasa naona nasi tunaelekea kule kule...

yani sifa moja ya ukweli nikwamba uwezi kuuzika milele utafufuka tu ndomana leo yanaibuka wazi sikwamba wanafanya kizembe no wanafanya kwa siri kubwa lakini kwavile si jema litajulikana.
ila yapo madhehebu ya kweli kabisa wanamwabudu mungu ktk roho na kweli kabisa na ukiwepo unajua mungu yupo sina hofu na hilo nilipo naamini hivyo
 
kumbe hata nikianzisha misa nyumbani na familia yangu ni vyema sana

sina maana hiyo kwakweli maana bibilia pia inasema ni vizuri kuhabudu pamoja to have felloship with god ni mount zion
tazama ilivyovyema ndugu kukapamoja kwa umoja
 
he shemasi na wewe unataka kutoka kanisani
si wote tutarusi nyumbani;usifanye hivyo bana
utatupoteza wengi afadhali mmuumini wa kawaida si wewe
tenda neno shika neno

amen mtumishi angalau umeweza kuliweka vizuri zaidi
tenda neno shika neno
 
Back
Top Bottom