ingekua wewe unge fanyaje?

... Lakini kama bado mnapendana will you both be able to move on au ni kusettle tu for what you got?

...ndio maana nikasema kuna tofauti "to be in-love" na to love somebody! kama unampenda tu mkeo laki ni huoni wala husikii kwa huyo old flame ~soulmate~ wako,...ni bora tu uwe mkweli wa moyo wako! :)
 
Back
Top Bottom