Ingekua vipi kama angekua salma kikwete????????????

Kwani amekatazwa? Si hautubie tu, kama vipi hata vikao vya CC haudhurie. Nchi yenyewe iko juu chini.

wewe hicho kiswahili kwenye bold umejifunzia wapi na mimi nikasomee huko?au wewe ni kabila gani labda?
 
Asa salma kikwete atakaa awaambie nin hao wakina mwita wakati wametoka zao kulinda aman huko darful?
 
Leo nimemuona michelle obama akiwahutubia wanajeshi waliotoka Iraq kabka ya mumewe Bari kupanda stejini,papo hapo likanijia hilo swali wat if angekua salma kikwete ?ni sauti kiasi gani zingepazwa kwa kile ambacho kingeelezwa jk kuwa na ubia na mkewe kwenye urais?

Nadhani tunahitaji kubadili fikra na mitazamo yetu cuz behind every successful man there is a woman,we can't resist..





Barack+Obama+President+Obama+Speaks+Troops+ZBQpjc_MKB8l.jpg




Barack+Obama+President+Obama+Speaks+Troops+4XU2MHpCYRGl.jpg




Barack+Obama+President+Obama+Speaks+Troops+4tBrJO33746l.jpg

Unafikiri Rais wa USA au Mke wake hawawezi kukosea.USA siyo 'marking scheme' ya Tanzania.
 
Salma hawezi. Ni mvivu, goigoi, mshamba, sio mjanja. Anasumbuliwa na matatizo ya kifamily so hawezi kufanya kama mke wa Obama.
 
Back
Top Bottom