Inge kuwa vipi?

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
836
Ni mawazo tu ambayo nime fikiria. Vitu ambavyo vinge tokea Tanzania inge kuwa nchi tofauti na ilivyo sasa (iwe kwa uzuri au ubaya).

Inge kuwa vipi.....

1.Kama Nyerere ange baki kuwa raisi wa maisha?
2.Kama Nyerere ange jiuzulu mapema zaidi?
3.Kama Edward Sokoine ange kuja kuwa raisi?
4.Kama Mrema ange shinda 1995?
5.Kama Ben Mkapa asinge kuwa raisi?
6.Kama JK ange shinda 1995?
7.Kama leo hii Lowassa ndiyo ange kuwa waziri?
8.Kama vigogo wazito wa CCM wange jitoa na kuanzidha chama kingine?
9.Kama mafisadi wange shughulikiwa?
10.Kama Omar Ali Juma ange kuwepo hai na kumchallenge Kikwete 2005?

Ni mawazo tu....
 
Vyovyote vile tanzania bado ingekuwa nchi masikini kama ilivyo..........
 
Ni mawazo tu ambayo nime fikiria. Vitu ambavyo vinge tokea Tanzania inge kuwa nchi tofauti na ilivyo sasa (iwe kwa uzuri au ubaya).

Inge kuwa vipi.....

1.Kama Nyerere ange baki kuwa raisi wa maisha?
Hapa ni vizuri kuuliza watanzania wangekuwa na hali gani kama Mwinyi hakuchukua nafasi aliyoiacha wazi Nyerere..sijui kama inasaidia kuvutisha fikra.
2.Kama Nyerere ange jiuzulu mapema zaidi?
Tusingepigana vita ya Kagera na kwa hiyo tusingetumbukia katika umasikini na ufukara wa kutisha. Pengine Multipartism ingerudi mapema pia. Kama angekufa mapema lile G55 lingefanikiwa kuirudisha Tanganyika.
3.Kama Edward Sokoine ange kuja kuwa raisi?
4.Kama Mrema ange shinda 1995?
Nafikiri kila mtu angepewa siku saba ili kutekeleza jambo fulani.
5.Kama Ben Mkapa asinge kuwa raisi?
Pengine Omar Ali Juma angekuwa hai hadi hii leo. EPA isingetokea na mashirika ya Umma yasingebinafsishwa kwa kasi aliyofanya Mr. Ben.
6.Kama JK ange shinda 1995?
Kama JK angepewa tu..Tanzania hakuna "kushinda" leo angekuwa ameshastaafu urais na kumrithisha MwanaCCM mwengine kuendeleza na kudumisha "amani na utulivu" pia kuendelea kwa ukondoo wa umma.
7.Kama leo hii Lowassa ndiyo ange kuwa waziri?
8.Kama vigogo wazito wa CCM wange jitoa na kuanzidha chama kingine?
9.Kama mafisadi wange shughulikiwa?
10.Kama Omar Ali Juma ange kuwepo hai na kumchallenge Kikwete 2005?

Ni mawazo tu....
Hayo mengine watajitokeza wengine kuchangia.
 
Back
Top Bottom