Info about the Female Condom

Jamani kuuliza si ushamba. Je mwanamme anaweza kununua hiyo condom na kula nayo uroda bila mwanamke?

that is hillarious hahahahah!
ZA10 U MADE ME LAUGH SO LOUD!
Do an experiment halafu utujuze ilikuwaje hahahaha.
 
Nimeshaziona za bandia siku hizi kinyangarata kinafanana na nanino basi unakinunua na kushughulika nacho labda hicho kinawafaa wenyewe wazungu halafu pia kuna madoli makubwa kabisa size ya mtu mzima nayo ni bei mbaya sana unamuona baba mzima amelinunua eti likamsaidie kushughulika na analala nalo kitandani. Ha ha ha ha ha

Niliona kipindi kwenye TV karibu nivunjike mbavu maana ni mataahira tu ndiyo wanaweza kulala na sanamu kitandani na kuona kama wamelala na mwanamke lakini jamaa walikuwa serious kabisa. Wazungu!!!!! ha ha ha ha waache waende zao :)
 
BAK,
KWELI watu wamejichoka na kuwachoka wengine..... hadi kujinunulia mwanasesere!?

Jirani, labda hawajui namna ya kuuza lugha kwa vimwana hivyo wanaona bora wahangaike na mwanaserere badala ya kujiumauma :) halafu jamaa anayewatengeneza hao madoli akawa anadai kwamba katika kipindi cha miaka michache soko lake la hayo madoli ya kunanihii nayo linaweza kuongezeka sana ha ha ha ha.
 
Nimeshaziona za bandia siku hizi kinyangarata kinafanana na nanino basi unakinunua na kushughulika nacho labda hicho kinawafaa wenyewe wazungu halafu pia kuna madoli makubwa kabisa size ya mtu mzima nayo ni bei mbaya sana unamuona baba mzima amelinunua eti likamsaidie kushughulika na analala nalo kitandani. Ha ha ha ha ha

Niliona kipindi kwenye TV karibu nivunjike mbavu maana ni mataahira tu ndiyo wanaweza kulala na sanamu kitandani na kuona kama wamelala na mwanamke lakini jamaa walikuwa serious kabisa. Wazungu!!!!! ha ha ha ha waache waende zao :)

BAK:

Sio wazungu peke yao bwana. Fungua duka bongo na uone nani anakuja.
 
BAK,
KWELI watu wamejichoka na kuwachoka wengine..... hadi kujinunulia mwanasesere!?

Unajua tusiwalaumu sana. Kwetu interactions za watu ni kubwa. Huku wakati mwingine inaweza kupita siku nzima bila kuongea na mtu. Hivyo experimentation ya mwanaserere ni nzuri kama itasaidia.
 
Back
Top Bottom