Hebu achaneni na hizi ngonjera za nccr na cuf,....
Siasa za chadema zimewagusa watanzania, ndo maana wanawakubali na kuwaunga mkono, .............
Inaonekana hujui ama unajribu kupotosha watu, cdm bado inaratibu kufanya maandamano ya nchi nzima kupinga malipo ya dowans, kama hujui hilo sijui we uko nchi gani.
Mkuu,
Nimesubiri kwa muda mrefu sasa maandamano ya kupinga kuchakachuliwa kwa kura....sasa bado CDM inajaribu? Nitasubiri hayo yatakayoitishwa na CDM....kwa vile uko jikoni, jee tutasubiri muda mrefu au mchache mkuu?