Infiksesheni jamani katika lugha mbalimbali!

Mpigamsuli

JF-Expert Member
May 24, 2012
3,885
575
wana jf ninaomba msaada wa hili hivi ni kwa nin infixation ni very rare kutokea kweny lugha? kama izo lugha zpo ntajien!
 
mpigamsuli

Infixation in english

An infix is an affix inserted inside a word stem (an existing word). It contrasts with adfix, a rare term for an affix attached to the end of a stem, such as a prefix or suffix.

There is a morphological process called infixation, which is interesting to english speakers because it doesn't exist in english. For you non-linguistics nerds, imagine that the plural suffix "s" was stuck right into the middle of a word, so that instead of "cats" we would say "cast". That's infixation.

The languages which feature infixation most prominently are the Semitic languages, like Arabic and Hebrew. In hebrew, the roots for some words are three "letters" The root of the word Shalom is ShLM (i don't know how to represent the letter for the Sh sound in text, but it's an s with a little upside-down arrow on the top of it). Anyway, morphemes a and o are infixed into that word to make Shalom. There's bunches of other words with the same root, but different things are infixed in there to make it different words.

The only example in English that I've ever read about it the infixation of the word (words can be morphemes too), "****in'"

Example: Abso****inlutely

Another example, which is appearing more is the infixation of the word "whole."
Example: Awholenother world.

I'm not sure why this is acceptable to some English speakers. My intuition is that most people would not find it acceptable, but generally, things slowly become acceptable to more people as time goes on. Like it or not, "Irregardless" will probably one day be an acceptable word for English speakers, as will the spellings "thru" "u" and, most likely, "cuz". You can't stop these things.

Anyway, the use of the word "awholenother" has always kind of irked me, but now that I know more about word formation processes, I think it's kinda cool, since it brings a new process into the English language. Change is good and unavoidable.
 
Lugha maarufu sana kwa infixation ni kama Kiarabu na Kiebrania. Tazama Kiarabu
mzizi: ktb 'write'
kataba 'he writes' kiambishi hapa ni -a-a-a
kitab 'book' kiambishi hapa ni -i-a-
Sina hakika sana kwa nini mfumo huu ya uambishaji ni wa nadra kuliko aina nyingine za uambishaji.
lugha nyingi hupendelea viambishi awali au tamati. Kwa mfano, ktk Kiswahili
-andik- ndiyo mzizi wetu
tu-li-andik-i-a
mzizi hauingiliwi kabisa. Vipande vyote huja mbele ya mzizi au nyuma yake.
 
Ninakupeni tahadhari wachangiaji. Mleta uzi anataka makini ielekezwe katika kumuelewesha habari za viambishi-kati katika huo mchakato wa uambishaji. Dotworld umejaribu kufafanua suala la uambishaji kwa ujumla na hata ulipojaribu kutoa mifano miwili hivi, umetumia maneno changamano na ambayo ni mukhari kuuchora mstari kuonesha mzizi hasa ni upi. Mchango wa hukumundo unaweza kuwa jalabati (nikiri mimi si mjuzi wa kiarabu) hasa ikiwa -ktb- kweli ni mzizi wa neno. Tatizo kubwa ninalolibaini katika neno hilo na kutilia mashaka uwezekeno wa kuitwa mzizi ni kukoseakana kwa kiambishi kingine chochote. Lakini kwa kuwa tabia ya lugha hiyo ya kiarabu siijui, mashaka yangu yanabaki kuelea hasa alivoendelea kutengeneza maneno k-a-t-a-b-a na k-i-t-a-b katika kuhalalisha viambishi-kati vilivyojitokeza katikati ya mzizi. Lugha ya Kihaya kwa mfano ina neno 'bon-a' lenye mzizi bon- lakini linaweza kubadilika kuwa 'boin-e' na hivo kusababisha mzizi wetu wa awali 'bon-' uruhusu kiambishi kingine kiingie na kuufanya mzizi huo kuonekana 'bo-i-n-' jambo ambalo ni nadra sana miongoni mwa lugha nyingi. Hata hivo niseme tu kwamba mchakato wa uambishaji ni moja ya njia zinazosaidia kuzalisha msamiati wa lugha; na kwa lugha za kibantu ambazo zinaitwa lugha ambishi-bainishi (Kiswahili kikiwemo mchakato huu hufanyika zaidi katika aina za maneno ziitwazo Nomino na Vitenzi.
Wakuu, ninawasilisha!
 
Kwa kiingereza wangesema my example from Arabic is a textbook case of infixation. hata kiarabu kina viambishi awali na tamati. I was giving a ficused example on infixation. Na huhitaji kujua kiarabu kuuelewa mfano huu wa infixation.

Back
Top Bottom