Infidelism: Nani rahisi kukamatwa na kwa nini?

Mwanakijiji kuna jambo fulani inabidi tuliangalie, men take less notice what their women do huwa hatutilii maanani sana rafiki zao ni akina nani?, wapi wanaenda, wanategemea kufanya nini kwa sababu huwa hatujali utasikia mkeo/girlfriend wako anakwambia natoka na so and so....to blah blah blah.....au "Ijumaa ijayo naweza kuchelewa kurudi"...ukisikia hivyo wewe kichwani mwako unaanza kupanga utafanya nini na uhuru utakaokuwa nao hiyo Ijumaa ukiwa peke yako ambapo girlfriend/mkeo hatokuwepo.

Wanawake kwa upande mwingine would question a man, about who, where, what, when and how and then keep a mental log of every detail, and upon his return, ask follow-up questions of her man to make sure the details are consistent. And if there is any inconsistency, it develops into a full-on interrogation.

Women simply don't trust men as much as men trust women, and men don't really care what women do when you go out as long as you come home. It's kind of odd, because a woman who is average looking can basically go out at any time and find a random stranger to have sex with if she wants to. But women are by no means better cheaters. Men are just less suspicious and less inquisitive about details.
 
Nimevutiwa na mchango wako ila naomba kukuuliza ni mambo mangapi hayakua kawaida na siku hizi ni kawaida?
Kwanini unashtuka sasa!
Mimi nadhani boss anazungumzia kucheat kwa wanawake, na akumbuke kuwa kucheat bado sio kitu cha kawaida kwenye jamii kama anavyofikiri yeye manake bado inafanywa kwa siri...kama ni kawaida mbona haifanywi hadharani? Vinginevyo labda sielewi maana halisi ya 'KAWAIDA'
 
Bado sijaamua hasa nizungumze nini hapa,nikiamua nitakuja!
 
Mi sijui nikoje,

Siamini kama wanawake wanacheat kama wanaume wanavyocheat aisee. Na midume iko smart ikisaidiwa na mi-advantages kibao inayowafeva. Wanawake hata kama wapo wanaocheat lakini ODM najiaminisha hawawezi fikia kiwango cha midume. Na hata hao wanaocheat idadi yao haifikii idadi ya midume bana.

Majukumu yanayomkabili mwanamke mara nyingi yanampa nafasi finyu kucheat ukilinganisha na mwanaume.
Imani iliyozoeleka kuwa mwanamke akicheat basi ni malaya wakati mwanaume akicheat anaonekana kidume nayo inachangia wanawake wengi wasicheat kama wanaume.
Ile mazoea pia kuwa mtongozaji lazima awe mwanaume inachangia pia.....mwanamke asipotongozwa na mwanaume atabaka? Ila vidume vinatongoza mpaka wanawake sita kwa siku. Na kukataliwa na wote sita ni mwiko.

Kwanini vidume havikamatwi ugoni?..... Rejea sheria mama kumi za infidelity.
Ngoja ODM asepe.
Maelezo mengi lakini bado hujajibu swali la mwanakijiji, nani rahisi kukamatwa? Kati ya hao wanawake wachache wanaocheat na hao vidume wengi ambao kucheat kwao ni ushujaa?
 
Sina data za kusapoti upande wowote,

Kwa hiyo nabaki kuamini kwamba uwezo wa kujificha kwa mtu anayebanjua/banjuliwa nje ya mahusiano unategemea mtu mwenyewe na siyo jinsi yake!
 
Mimi nadhani boss anazungumzia kucheat kwa wanawake, na akumbuke kuwa kucheat bado sio kitu cha kawaida kwenye jamii kama anavyofikiri yeye manake bado inafanywa kwa siri...kama ni kawaida mbona haifanywi hadharani? Vinginevyo labda sielewi maana halisi ya 'KAWAIDA'

mimi nilivyokuwa mdogo nilikuwa
naamini kuwa wanawake wote
'walikuwa wanalazimishwa tu ku sex,walikuwa hawapendi
na kwamba ni starehe ya wanaume tu,na
wanawake walikuwa wanaonewa tu....

bado naamini wapo watu weengi ambao
hawa take kuwa kawaida kwa mwanamke
ku express hisia zake za mahitaji ya sex wazi wazi

wanawake hasa wa kiafrika wamefundishwa ku 'suppress mashitaji yao ya sex'
na kujali zaidi mahitaji ya 'waume zao'

ndo maana kuna ndoa nyingi ni 'matusi ' kwa mke kusema haridhishwi na mumewe kwenye sex
mwisho hutafuta 'faraja' nje...
 
Maelezo mengi lakini bado hujajibu swali la mwanakijiji, nani rahisi kukamatwa? Kati ya hao wanawake wachache wanaocheat na hao vidume wengi ambao kucheat kwao ni ushujaa?
Kusoma huwezi, hata picha nayo yakushinda? Ukisoma hiyo red bold bado hujaelewa? Siku nyingine ntakutia bakora!

Mi sijui nikoje,

Siamini kama wanawake wanacheat kama wanaume wanavyocheat aisee. Na midume iko smart ikisaidiwa na mi-advantages kibao inayowafeva. Wanawake hata kama wapo wanaocheat lakini ODM najiaminisha hawawezi fikia kiwango cha midume. Na hata hao wanaocheat idadi yao haifikii idadi ya midume bana.

Majukumu yanayomkabili mwanamke mara nyingi yanampa nafasi finyu kucheat ukilinganisha na mwanaume.
Imani iliyozoeleka kuwa mwanamke akicheat basi ni malaya wakati mwanaume akicheat anaonekana kidume nayo inachangia wanawake wengi wasicheat kama wanaume.
Ile mazoea pia kuwa mtongozaji lazima awe mwanaume inachangia pia.....mwanamke asipotongozwa na mwanaume atabaka? Ila vidume vinatongoza mpaka wanawake sita kwa siku. Na kukataliwa na wote sita ni mwiko.

Kwanini vidume havikamatwi ugoni?..... Rejea sheria mama kumi za infidelity.
Ngoja ODM asepe.
Au bado hujaelewa? FYI vidume vingekuwa rahisi kukamatika, asilimia 85 ya ndoa zingekuwa zimeshavunjika! Kwa sababu gani? Simple asilimia 99 ya wanaume wanacheat. Umeridhika?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
...Ile mazoea pia kuwa mtongozaji lazima awe mwanaume inachangia pia.....mwanamke asipotongozwa na mwanaume atabaka? Ila vidume vinatongoza mpaka wanawake sita kwa siku. Na kukataliwa na wote sita ni mwiko....
Ila mwanamke akiamua kutega (ndio 'kutongoza kwao'), ni wanaume wachache sana wanaweza kuchomoa!
 
...Au bado hujaelewa? FYI vidume vingekuwa rahisi kukamatika, asilimia 85 ya ndoa zingekuwa zimeshavunjika! Kwa sababu gani? Simple asilimia 99 ya wanaume wanacheat. Umeridhika?
Aiseee hii inaweza kuwa kweli!
 
Sina data za kusapoti upande wowote,

Kwa hiyo nabaki kuamini kwamba uwezo wa kujificha kwa mtu anayebanjua/banjuliwa nje ya mahusiano unategemea mtu mwenyewe na siyo jinsi yake!
Naunga mkono hoja yako lakini pia napenda uamini kama mimi kuwa kama wanaume wangekuwa hawako smart, asilimia kubwa sana ya ndoa ziingekuwa zimeshavunjika, yaani kama yangu ingeshakuwa historia siku nyingi sana.
 
Ila mwanamke akiamua kutega (ndio 'kutongoza kwao'), ni wanaume wachache sana wanaweza kuchomoa!
Hahahaha! Well naweza kukubaliana na wewe mkuu, lakini pia inategemea na mtegaji mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kusoma huwezi, hata picha nayo yakushinda? Ukisoma hiyo red bold bado hujaelewa? Siku nyingine ntakutia bakora!

Au bado hujaelewa? FYI vidume vingekuwa rahisi kukamatika, asilimia 85 ya ndoa zingekuwa zimeshavunjika! Kwa sababu gani? Simple asilimia 99 ya wanaume wanacheat. Umeridhika?
Ndoa hazivunjiki sababu tunawasamehe mara nyingi... Wanakamatwa sana asee, kama wewe bado hujakamatwa na mama matesha subiri siku yako yaja. Sijaridhika nataka tena!
 
Naunga mkono hoja yako lakini pia napenda uamini kama mimi kuwa kama wanaume wangekuwa hawako smart, asilimia kubwa sana ya ndoa ziingekuwa zimeshavunjika, yaani kama yangu ingeshakuwa historia siku nyingi sana.
Basi hapa unatakiwa useme wewe ndio uko smart. Usiisemee mioyo ya wengine manake hawako kama wewe
 
Lol, hapa yaliwahi kunikuta asee, tena niliambiwa nna laana, sina adabu na nisirudie tena kumwambia mwanaume hayo maneno, nliambiwa wanaume hawaambiwi hivyo hata siku moja,lol. Nikalazimishwa kuomba msamaha..

na wewe si ungenitafuta sasa..nizibe pengo lol
 
Naunga mkono hoja yako lakini pia napenda uamini kama mimi kuwa kama wanaume wangekuwa hawako smart, asilimia kubwa sana ya ndoa ziingekuwa zimeshavunjika, yaani kama yangu ingeshakuwa historia siku nyingi sana.

Kwa upande wako uko sahihi na sina data zozote za kunishawishi nikubishie....!!

Ila kama unamini kuwa, "action and reaction are equal but only from the opposite angle", basi utaweza kugundua kuwa inawezekana wewe ni beneficiary tu wa ujanja wa mtu mwingine, i.e...una hakika gani kuwa siyo ujanja wa Mama Matesha ambao umewapa nafasi ya kuvuta vuta time hadi sasa??

Bado naamini kuwa wapo wanawake wanjanja sana ambao, they can cheat and still do away with it...hadi mwisho wa ndoa zao!!!
 
Ndoa hazivunjiki sababu tunawasamehe mara nyingi... Wanakamatwa sana asee, kama wewe bado hujakamatwa na mama matesha subiri siku yako yaja. Sijaridhika nataka tena!
Amin amin nakuambia, wanaokamatwa hawafiki asilimia 10 ya wanaocheat. Na umri huu nimeshuhudia mengi mpendwa!
 
Mwanakijiji leo umeamkaje na "Cheaters"

Mie zamani nilikuwa naamini kuwa "Wazungu" huwa hawacheat
achilia mbali hiyo ya kwamba kati ya mwanaume au mwanamke
nani ni rahisi kucheat/kukamtwa akicheat

Hilo wazo lilinipeleka mbali sana kwamba wanawake hawawezi
kwa njia yoyote ile kucheat "Natolea mfano Mama yangu"
Namaanisha nikiwa mdogo sijaanza kunanilihiiiiiiiii
Kwa jinsi nilivyokuwa namuona pale nyumbani anamtii
baba kwa kiwango cha hali ya juu kuliko maelezo anatuogesha
anatupikia, Baba anarudi kanywa pombe zake mama anamka anapasha
chakula tena kwenye moto wa kuni na ni usiku na ukumbuke kuwa alikuwa mwalimu
wa shule ya msingi nae anatoka kazini kachoka but still anafanya kazi zote
hizo nikaamini moja kwa moja kuwa wanawake hawawezi kucheat hata siku
moja.

But kumbe maisha sivyo ndivyo nilikuja kugundua kuwa "wanawake" wanacheat pia
tena kwa siri na uoga wa hali ya juu mno na kukamatwa si rahisi saana kivile
lakini wanaume wanacheat bila woga tena wazi na wakati mwingine "Mkewe"
anajua na anasema "Sawa tu" ilimradi analipa ada, chakula na mahitaji mengine
mwache aendelee (Hapo swala la kukamatwa halipo) sababu "Mkewe" tayari anajua

But ki ukweli hakuna fomula ya kwamba nani ni rahisi kukamatwa mara nyingi naamini
kuwa ukitaka kumkamata mtu unaweza kwa muda na wakati wowote ni vile tu
kwamba unajisemea zako kuwa utafatilia wangapi??? Nakujipa magonjwa ya moyo
kisukari na mengine mengi bure mwache atahangaika akichoka atatulia

Mwanakijiji huyo aliyekucheat leo mwambie asirudie siku njema. Asante
 
Kwa upande wako uko sahihi na sina data zozote za kunishawishi nikubishie....!!

Ila kama unamini kuwa, "action and reaction are equal but only from the opposite angle", basi utaweza kugundua kuwa inawezekana wewe ni beneficiary tu wa ujanja wa mtu mwingine, i.e...una hakika gani kuwa siyo ujanja wa Mama Matesha ambao umewapa nafasi ya kuvuta vuta time hadi sasa??

Bado naamini kuwa wapo wanawake wanjanja sana ambao, they can cheat and still do away with it...hadi mwisho wa ndoa zao!!!
Asprini aka babu mwenzio akimaliza kusoma hii useful quote yako, aende akamsome The Finest na mwisho kabisa amsome na Dena Amsi.
 
kuna mambo meengi sana aisee
nafikiri wazee wetu 'hawakujua' kuwa wanawake nao wana mahitaji sawa na wanaume hasa kwenye sex
na pengine zaidi.......kwa hiyo unakuta wanawake kumi au ishirini wanaolewa na mtu
mmoja na 'wana fake' kuridhika na kuwa na furaha...

sasa wanawake wa sasa wameelimika na kujitambua na wamekuwa na demands wazi kabisa..
na wanaume ndani ya subcouncious yetu bado tunafikiri kizamani....ndo maana tunashtuka
tukiuona ukweli mbele ya macho yetu...

bado kwa kiasi kikubwa wanawake wana cheat ili 'kuziba pengo la intimacy au sex'
while wanaume huwa tuna cheat hata kama unae anaekuridhisha home....
Hapa sitaki kuchangia na sirudi tena kwenye hii thread, nisije anza hisia kwamba Wife naye huwa ana cheat kama mimi alafu ikaniletea matatizo, niacheni na imani yangu kwamba wife ha-cheat full stop!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom