Infatuation

ahhahhha..yes I've been there and done that..its like your being possessed
 
U got me buddy!
Well, respect! But was he interesting? At least a stalker should be interesting (if he/she aint persistent)
i was interested in him not the other way around, and NO i wasn't stalking him. he's good looking,kind, smart, street smart etc. we still friends. till now as long as he doesn't find out.
 
Mie naogopa kusema banaa! Ila hapo juu umemuelewa unless utalipa tuotion fee,lol!
Kikazi zaidi (afu usijisahaulishe ivooo, ntaanza stalking u with my gun)
kwani we umeelewa vipi?
hebu nielimishe na mimi
my english haiko sawa saana.
 
I used to have one! Aise ni balaa! Nakaambia nipo job mida ya kazi hakaelewi! Nikizima simu katanuna! Yani ni taabu full time, hutaenjoy kbs hakaelewi kuna mida ya kazi au kulala, kuna kuishiwa chaji au kuwa mbali na simu, asbuhi mchan jioni au usiku ni kupiga cm, nitaongea nae masaa mawili lakini baada ya nusu saa kanapiga tena! Duhhhh

Usiombe..... Utakoma!
 
I have one right now. He is 19 and so convinced that he will love me forever.
Kila kukicha ananitumia stupid quotations gathered from God knows where!
the other day kanitumia barua from lyrics of an old black street boys song...
Nampa muda tu. Najua wakianza masomo atanisahau. I am patient with him
 
hahahaaa!!!umenikumbusha mballi kweli mwali nkiwa chuo miaka kadhaa nyuma kalikuwepo katoto kananistalk mpaka rafiki zangu wakakapa jina maana it wz too much popote ntakapokwenda lazma kanifatilie!!!lol!
 
Mi nina bahati sikai nae mji mmoja. Ila anaweza kuniandikia BBM,
nisipojibu anaingia whatsApp, nikichuna anatuma Viber na sms
Then anaenda FB page yake na ananitag (hana access na yangu)
Anaweka picha za mapenzi, na za kusema his love is unconditional
Yani utake usitake utajibu tu. Na ukisha jibu anaanza tena yale yale:
Thank you on BBM, WhatsApp, Viber, Facebook, sms, na kungine
Worse of all: akinikosa ananitafuta kwa dada zangu na kwa marafiki!
we met in April, akaanza, akatulia kidogo, hivi karudi tena this August
 
if only stalkers were the one we love
or if the one we care knew how we are being stalked with stalkers lol
 
if only stalkers were the one we love
or if the one we care knew how we are being stalked with stalkers lol
Kwa kweli mapenzi ya hivi siyataki,nahisi I will suffocate
if the one I love starts acting like this I will stop living him.
 
Kwa kweli mapenzi ya hivi siyataki,nahisi I will suffocate
if the one I love starts acting like this I will stop living him.

sijasema ya hivi ndo best
i simply say sometimes watu wanaokuwa stalked at the same time hawapati
that much attention they need from their loved ones ..its a bit funny..ukilinganisha
 
Hahaha!
Got no time for haters dude!
Mwenzio roho kwatuuuu!
How ar u holding up lakini?
Am holding up pretty good, got no room for haters either coz in the end its a waste of their and what is infinitely worse,.. my time. YOLO!!
 
Hahaa mi ilinitokea kwa mke wa mtu wakati mwenyewe nikuwa 20.Tulipokula tunda tuu ilikuwa kero yaani yaani hata usiku akuwa amelala na mumewe ataamka anipigie simu kisa nilitaka kusikia sauti yako.Ilifika kipindi ananisimulia asivyom-feel mumewe na kwamba akitafa kufika mpaka avute taswira yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom