Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,512
Ushawahi kuwa na mtu mwenye infatuation na wewe?
Usiombe uwe naye. Tena kwa mfano wewe ni mkaka mtu mzima halafu uwe na kasichana kadogo (kiumri) ambako bado hakana tajiriba kubwa ya mambo ya kidunia utakoma.
Katakusumbua kwenye barua pepe, ukiwa fesbuk nako ni tabu tupu. Uta-stalk-kiwa hadi uione dunia chungu.
Yaani kakiwa kwenye hiyo hali wewe kwa wakati huo ndo utakuwa flavor of the month. Nani keshawahi kuwa na mtu mwenye infatuation naye?