Inependeza kama wote tungekuwa hivi

JUST

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
552
234

Angalizo: maelezo hapa chini yanawahusu wanaofanya vitendo hivyo.

ingependeza kwa wana JF wanapojadili mambo ya kisiasa hasa katika hiki kipindi nchi inakabiliwa na changamoto nyingi kubishana kwa nguvu ya hoja badala ya kutukana.
kwa mfano kama mtu ni mwanachama wa CCM au mpenda sera za CCM na anaona serikali ya CCM haijashindwa kiungozi kwa sasa basi aje na hoja za kimantiki kuthibitisha na si kutukuna, vivyo hivyo kwa wanachama wa CDM na wapenda sera wa CDM.

Nimezumngumzia CCM na CDM kwasababu mpira wa kisiasa hapa tanzania naona unachezwa ni vyama hivi viwili zaidi.

Nawakilisha kwa maoni
 
Back
Top Bottom