Industrial plot for sale at Iyunga,Mbeya/Eneo la Viwanda linauzwa Iyunga,Mbeya

dalaliwangu

Member
Feb 24, 2016
36
1
Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 7,700 linauzwa jijini Mbeya eneo la Iyunga.

Tafadhali wasiliana nami 0754060350,0716252818
 
Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 7,700 linauzwa jijini Mbeya eneo la Iyunga.

Tafadhali wasiliana nami 0754060350,0716252818
wakuu mimi naamini asilimia kubwa ya wana jf ni greater thinkers,so jitahidini muwe mnakamilisha matangazo yenu kabla ya kupost.Kama hiki hakijulikani kama kimepimwa bei yake ikoje baadae watu wakikuita ww dalali kwa kua huna details za bidhaa usika utalalamika?
 
Acheni majungu ya kitoto. Mwenye uhitaji apige simu apate maelezo zaidi. Mbona mnakuwa waswahilii swahili? Why did I put contacts numbers? Jiongezeni basi ee!!!
 
Acheni majungu ya kitoto. Mwenye uhitaji apige simu apate maelezo zaidi. Mbona mnakuwa waswahilii swahili? Why did I put contacts numbers? Jiongezeni basi ee!!!
Mtu una andika tu. just to challenge?? Why?? If you have yours just advertise.
 
Watanzania mnatakiwa kubadirika, kujigeuza na kujiongeza kutokana na mazingira, vinginevyo, watu wanasonga mbele wengine wanatoka kimaisha, wengine mnakalia majungu na kuchallenge ili tu nawe watu wakuone ume comment!!! Ahaha!!!
 
Back
Top Bottom