Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Wandugu,
Hata kama CCM ikishindwa...hii tume yetu ya NEC haifai...napendekeza iundwe Independent Electoral Commision of Tanzania (IECT)...sasa tuanze mjadala iwe na muundo gani kisheria na kiutaratibu...sitaki iwe na mkono wa Rais tena. Mimi napendekeza viongozi wa taasisi zifuatazo wawe wajumbe kwa mujibu wa nafasi zao ili nao waweze kuchagua viongozi wa tume:

- TLS
- TAMWA
- TAWLA
- POLICY FORUM
- JAMII FORUM