Incredible Maths! - (I)

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,414
Simply take your calculator, enter your age (number), multiply by 259 and then multiply by 39.

What did you get huh?
 
Maxence!

Nimekupata wala sikuambii jibu,andika wewe umepata ngapi kwanza.ha ha ha
It's surely incredible maths!.
 
He mbona 565656???? Hebu tufafanulie mkuu wangu. It is really incredible maths!!!
 
Mkuu hiyo maths nimeikubali, its incredible, ebu tupe uelewe kidogo, hiyo 259 na 39 ina siri gani hapo katikati mkuu, akhsante kwa hilo,Bravo
 
Watu wanataja miaka yao humu ndani hata sijui vp?

Invisible umetuwahi.Mwenzio niko kibaruani lakini ilibidi
ni-stop nifanye hii 'incredible math' kwanza...:)

Big up bro!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom