Increase ur Internet Speed UP to 200%

RobyMi

JF-Expert Member
Mar 4, 2012
848
862

Increase Ur Internet Speed Up To 200%...No Software...Inside Trick

Believe Me Inafanya kazi ...Juz Take 2 Min....

Haya Wanajamii ... Maujanja haya hapa Chini
So That You Can:

Aah Kidogo Nisahau : Only works for Mozilla Firefox

1) Fungua Mozilla Firefox.

2) Kwenye address bar type: "about:config"

3)Utakuta a drop list ya config kibao Angalia panaposema "network.http.pipelining" na ubadilishe to TRUE
(Double Click it until it says TRUE)

4)Look for "network.http.proxy.pipelining" to TRUE
(Same way as stated above)

5) Now. Right-Click Anywhere then click "Create New" Then "Integer". Name it "nglayout.initialpaint.delay"
Then Click Ok, then put the number "0" (Zero) in the next box

6) Click OK,

7) Restart Firefox.

8) Feel The Difference in Speed

9) Utakaposhindwa Uliza
 
Fix tupu mbona hiyo kitu ipo kitambo tena siyo kama inaongeza speed ya net sema inaifanya mozilla ifunguke faster so kama net yako ni mwendo wakobe inakuwa hivyo hivyo hakuna jipya ni sawa tu na kutumia coment bird browser au maxthor3
 
kweli haingozi kasi ya intanet, mi naijua hii siku mingi inafanya tu firefox ifunguke haraka baaasi..................
 
so wats the point of kufunguka haraka ... tatizo lenu wabongo hua hamtaki kukubali ukwel ... try streamin a video ndo utaona wat does this trick du
 
so wats the point of kufunguka haraka ... tatizo lenu wabongo hua hamtaki kukubali ukwel ... try streamin a video ndo utaona wat does this trick du
 
Ingekuwa inaongeza speed ya net ingewezekana kwa browsers zote:
Mie my master browser ni ile nzuri kuliko zote in the world kwa sasa
si nyingine: It is GOOGLE CHROME.

Insteady IE 9.
 
Ingekuwa inaongeza speed ya net ingewezekana kwa browsers zote:
Mie my master browser ni ile nzuri kuliko zote in the world kwa sasa
si nyingine: It is GOOGLE CHROME.

Insteady IE 9.
kakudanganya nani unaijua maxthon wewe
 
sasa wewe uliokuaunajua mbona sikuzote hujatoa hapa jf mwenzako ametoa ndio unasema muongo hata huko kufunguka kwa haraka tulikuwa tuna kuhitaji lakini ulikuwa umekaa kimya na maujanja yako mwenzio leo ameto sasa una maind we bora unyamaze tu acha domo kaya
 
RobyMi: 4)Look for "network.http.proxy.pipelining" to TRUE
(Same way as stated above)

Mkuu je kama naconnect moja kwa moja - No proxy - inakuaje?
 
Back
Top Bottom