Incomplete scandal

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Ili habari itimie ni budi tutajiwe na hayo majina..sasa mlijuaje akaunti zina pesa kiasi gani lakini msijue ni akaunti za akina nani?
Tusiwekane roho juu wala tusiogopane,tutajieni majina ili tujue namna ya kufanya,tuwajue wenye hivyo vitita walivipataje na why wamevihifadhi huko uswisi
Wengine kama tunawadai tukiwajua watulipe chet kabisa...hebu tuache mchezo bana tutajiane..kama mnawaogopa kwa nini mlianza kutuambia nusunusu?
Watajeni na source za mshiko zao.....
 
Unawinda tembo kwa risasi za ndege...nchi hii haishi sinema
Inkoskaz anoother episode maana ya Dr Uli inaelekea kuchuja na ya wabunge wala rushwa inaelekea Spika alishawakataza watu kuiongelea na ya Jairo ishamalizika hakuna new episode sasa inakuja hii ya mabilioni Uswiss
Mchezaji maarufu hapa sijui atakuwa nani
Watanzania kwa matukio ni balaa
 
Last edited by a moderator:

Hizi Episodes ni nyingi kama zile za mkuu wa kaya wakati wakati wa uchaguzi...halfu hazitimii wala hazina mfuatiliaji wa kuzihitimisha,zinabaki hewani
 
Yaani hakuna hata moja ina mwisho wake kuonyesha kuwa kuna lililofanyika au hatua zimechukuliwa
Tuanabakia kuja kuzikumbuka tuu ila movie iwe na mwisho ndio inanoga za hapa kwetu ni balaa
 
Za kwetu zote trailer au part one...part two never come
 
Back
Top Bottom