Inawezekanaje?

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,659
niliwahi kusikia mara mbili au tatu kuwa mtu anaweza kuwa na +HIV na akasex na mtu aliye Negative bila kinga na kutopata maambukizi, inawezekanaje? am comfused
 
some people are immune even to complex diseases,na ni wachache sana, blood group zao adimu sana.
 
biology form 3,bt ni wale wa2 ambao damu zao ni zinakinga kali kweli,kiac kwamba hapati magonjwa hovyo hovyo haswa HIV ila wapo wachache sana,yan wana immunity kubwa sana,n inawezekana sana tuu
 
biology form 3,bt ni wale wa2 ambao damu zao ni zinakinga kali kweli,kiac kwamba hapati magonjwa hovyo hovyo haswa HIV ila wapo wachache sana,yan wana immunity kubwa sana,n inawezekana sana tuu
Don"t be confused. Baadhi ya maelezo ni hayo uliyopewa hapo juu. Mimi naongezea haya. Unapaswa kujua kuwa kupata virusi vya ukimwi ni lazima hivyo virusi vipate njia ya kupita/kupenya. Ikiwa watu wawili wakijamiana mmoja HIV+ na mwingine HIV- na PASIPOTOKEA MCHUBUKO WOWOTE KWENYE SEHEMU ZA SIRI, VIRUSI HAVIWEZI KUTOKA SEHEMU MOJA KWENDA SEHEMU YA PILI. Ndiyo sababu ya watu wawili moja HIV+ na mwingine HIV- kujamiana na mtu asipate virusi. Hii ndiyo sababu tunashauriwa kuhakikisha tunakuwa tayari kwa tendo la ndoa. Sehemu ya siri ya mwanamke iwe na "mucus" ya kutosha ama sivyo mwanamke apake vaseline. Mungu akusaidie.
 
Back
Top Bottom