Inawezekana?

Naona leo JF tunaingia ma-superuser tu!
icon10.gif

Mbona kiblurei sana,mwendhio sloo lena hapo nifafanulie tafadhali!

weee mwche ajishongondoe, kuna thread nimeingia hakuna hata button moja.......
 
hivi inawezekana jf kukawa na membaz ambao wako real willingly kutoa details zao?namaanisha kwamba no zao zikajulikana kwa mfano hili tatizo la jf for these two daiz,mm niko tayari kutoa my no ili jf inapopata tatizo nitumiwe japo msg nijue na mm niwajulishe wenzangu pia?maana kama jana nimegombana na watu karibia wa 3 just because jf was not on air,nikajua wamefunga,imebidid tu now nikaombe msamaha.
Mnaonaje wajameni?
inawezekana kabisa hata mimi naweza anika namba yangu hapa. Sioni tatizo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom