Inawezekana?

Ila Invisible na clue yake duh watu tumeshindwa hata kushusha Juice sababu ya hii issue
Sikutegemea kama itakuwa hivi !
 
Xpin binamu yetu wa ukweli yuko wapi jamani?
(still on vekesheni (eliza.chawote ,)
 
Comrade labda wanaogopa mifupa hiyo inayotembea......watu wamezoea minyamanyama...Lol

Hehehehe huu ni mwendo wa kunyata nyata Komredi hehehe.

unamega na kuacha tena kwa kujiexpress
wanyange wanaogopa sasa....

Mi nashindwa kuelewa mabinti wa kibongo haya mambo si maelewano tu uzuri wa mm huwa nakuwa muwazi kabla ya kumega ndo tatizo hilo mabinti wa kibongo hampendi kuambiwa ukweli mnapendwa kudanganywa.

Teh teh! mzee wa kudownload,falling in love kwa Fidel ni msamiati.

Hehehe mm kabla ya kudownload n'tu anapewa ukweli akikataa si lazimishi si unajua ukilazimisha ni dhambi kwa Mungu.
 
Mpaka hapo nishaanza kukuogopa.Ukinikaribisha cup of cofee itabidi nije na bodigadis,kulia bht na kushoto Pearl.

Naona leo JF tunaingia ma-superuser tu!
icon10.gif
 
Ntakupa pole ya kingoni hapo baadae.
Jf ni kama ulevi fulani hivi, ambao ukiingia damuni ni vigumu kutoka.
 
Meku hizo priority mlipata wachache, sisi toka saa tisa jana tulishindwa kulog in tukabaki kuchungulia tu kama wageni.....

na wewe najua kwa nini ulipata unafikiri ungekuwa mgombana unge-access??? subutu....
mi nikadhani nimepigwa ban nikajaribu kuregister upya nikapiga olaa tena nikajua hii problema yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom