Inawezekana?

Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,036
309
Hivi inawezekana JF kukawa na membaz ambao wako real willingly kutoa details zao?namaanisha kwamba no zao zikajulikana kwa mfano hili tatizo la Jf for these two daiz,mm niko tayari kutoa my no ili JF inapopata tatizo nitumiwe japo msg nijue na mm niwajulishe wenzangu pia?maana kama jana nimegombana na watu karibia wa 3 just because JF was not on Air,nikajua wamefunga,imebidid tu now nikaombe msamaha.
Mnaonaje wajameni?
 
au watupe no ya mods kama wawili maana tuna no ya Maxence tu na hiyo nadhani tunam-over load
 
Pole sana Pearl! inaonekana ukiikosa JF unakuwa kama Mgonjwa na kichwa kinapata moto kwa hasira!
 
Hivi inawezekana JF kukawa na membaz ambao wako real willingly kutoa details zao?namaanisha kwamba no zao zikajulikana kwa mfano hili tatizo la Jf for these two daiz,mm niko tayari kutoa my no ili JF inapopata tatizo nitumiwe japo msg nijue na mm niwajulishe wenzangu pia?maana kama jana nimegombana na watu karibia wa 3 just because JF was not on Air,nikajua wamefunga,imebidid tu now nikaombe msamaha.
Mnaonaje wajameni?
Jana mida gani JF ilipotea? maana mi mpaka sa kumi na mbili jioni nilikua online!!
 
Dah pole sana Pearl kwa bahati mbaya sina namba yako ningependa kuwa nayo mm nitakuwa nakujuza hata saa 8 usiku kama huto jali.
 
Jana mida gani JF ilipotea? maana mi mpaka sa kumi na mbili jioni nilikua online!!

Meku hizo priority mlipata wachache, sisi toka saa tisa jana tulishindwa kulog in tukabaki kuchungulia tu kama wageni.....

na wewe najua kwa nini ulipata unafikiri ungekuwa mgombana unge-access??? subutu....
 
Kwani nyie hamna namba ya MMK? yeye huwa anajua kinachojiri!

heheee sisy jana Goeff alimng'ang'ania Mzee wa watu karibu jembe limdondoke begani

'Why MMK??' (and why not though)

Kumbe na wewe unayo eeeh......
 
Meku hizo priority mlipata wachache, sisi toka saa tisa jana tulishindwa kulog in tukabaki kuchungulia tu kama wageni.....

na wewe najua kwa nini ulipata unafikiri ungekuwa mgombana unge-access??? subutu....
ha ha ha kwa kweli ndo maana jana nilishangaa member wote wametambaa nikajua mambo ya mgao hayo.......Dah poleni sana!!
 
Kwani nyie hamna namba ya MMK? yeye huwa anajua kinachojiri!

Mhhh
icon6.gif
icon6.gif
icon6.gif

Huitoe wapi wewe hii?
 
Mie nikajuwa Wapwaz group was Burned Completely msionekane katika uso wa JF
ooooh Nguli,Pakajimmy,Fidel80,Iribin,kaizer .Geoff ,Preta MJ1,Bht,Pearl,Charity na wengineo
Mnakuja kasi kama kimbuga cha......
 
me was real shocked pale nilipoona kuna watu wanapost wakati mie siwezi, tried reaching muheshimiwa not reachable nikasema basi tena kifo cha wengi harusi........
 
asante....hahaaaa mbona hukuwazia ban??
we mods hawezi kutoa ban kwa watu wote hao....maana nilichake JF home page nikakuta current members walikua 31 tu..wakati kila siku wanakua zaidi ya 500..nikajua Tz mambo yameharibika!!
 
hahaa hommie wako alinipigia akasema mamusha nimekula ban nini?? cant access....

lol....kumbe hamna ujanja eeh!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom