Inawezekana

Inawezekana, lakini kulingana na maelezo yako kwamba umekapa mgogo ili kasikutege, hapo nina wasiwasi, Hujaacha ila unapumzika. maana ungekuwa umeacha usingekuwa na wasi wasi wa kutegwa ungekaona kama mwanaume mwenzio.

Unacheza na injini ya uzinzi wewe? Mimi sio hanisi kiasi cha kujiachia kwenye majaribu kivile.Kushinda hii kitu na hasa kama ulishawahi kuifanya kama msosi unahitaji precautions kweli kweli na nasikitika kusema sio rahisi kama unavyodhani. Naongelea my exprience yangu mimi mweyewe peke yangu tu! Nimetoa msisitizo hapo ili uelewe vizuri kwa sababu I see and exprience the difference. It is gone my dear,gone.
 
Jasiri haachi asili.
Wewe upo likizo unakusanya nguvu kurudi kazini kwa kishindo.
Maoumziko mema mkuu
OTIS

Ooooh Boy, I DID them,I did.And that was enough done and said.I am free.
 
gooooooooooood!!!shetani kakosa mfuasi hivi hivi haleluaaaaaa!!dhambi zinafanika out of mwili lakini ole wake atendae dhambi a uzinizi kwa sababu atenda dhambi ndani a mwili wake!!baikiwa
 
Kaka hiyo kitu...sijui. Ngoja niseme tu kwamba hongera na itabidi ujitahidi sana maana kuacha hiyo habari kama ni mzoefu ni mziki mzito sana.

All in all keep fighting bro.
 
Kaka hiyo kitu...sijui. Ngoja niseme tu kwamba hongera na itabidi ujitahidi sana maana kuacha hiyo habari kama ni mzoefu ni mziki mzito sana.

All in all keep fighting bro.

Kaka ndo uhalisia au ndo tulivyoaminishwa? Two years now and counting.
 
....ni kawaida umri ukifika unaacha, si kwa kupenda la hasha,...sababu ya umri.
 
ata anko yangu alinambia hivi nikagundua mwongo yeye kazeeka,mimi nikiacha saizi nitakosa uhondo.ngoja nisogeesogee nitaacha tu.
 
Kwanini ulioa?
Hii siyo haki. Ni sawa na kusema nimeacha kuua.
 
Hongera sana mkuu kwa uamuzi mgumu ulioufanya
Pia naomba kutoa shukrani zangu za dhati kwa kupunguza ushindani katika ulingo huu. Bado nipo nipo sana
 
Kaka ndo uhalisia au ndo tulivyoaminishwa? Two years now and counting.
Two years sio haba. BIG UP sana, mimi nilidhani labda umeacha ndani ya miezi 3, 4 ndiyo maana nikasema hivyo. Jitahidi hivyo hivyo mkuu maana ukifikiria sana ni kwamba mwisho wa siku hakuna jipya utakalopata kwa kufanya ngono ovyo ovyo.
 
Ni ushuhuda mzuri umeutoa,na ni fundisho kwa wale wanaopenda hako kamchezo...Mungu akuongoze hilo shetani lisikuteke tena. Inakubidi ufanye bidii ya kujenga uaminifu juu yako kwa mkeo..uaminifu juu yako ukizidi kupungua na mapenzi yatapungua pia.
 
Ndio maana aliposhtukia alitaka kuua mtu. Na uAsha ngedere alioufanya pale shambani kwangu haukuwa wa kitoto lakini mzee niliendelea kupiga game.Any way, that is gone, but from her eyes, she does not trust me anymore.And that is for me to live with.

Ulishamuona Mweupeee wa humu ndani? Nahofia usije kubadili msimamo ukimuona.
 
hongera.
umefanya weeeeeeeeee hadi umechoka umeacha. mie bado nipo nipo inkichoka ntaacha.:eyebrows:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom