Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

mkuu embu tupe mdokezo kidogo kuhusu G.Bush na Museveni walisema nini kuhusu HIV NA UKIMWI.

Mambo haya mara nyingi huwa hayatangazwi kwenye public isipokuwa pale tu mtu mwenyewe anayejua ukweli atakapokuwa amechoka kukaa na siri fulani na kuamua kuitoa bila kujali kitakachomtokea.Kuhusu Museveni ukifuatilia vitendo vyake alivyofanya Uganda kuhusu HIV/AIDS na Ushoga,ndio utajua msimamo wake kuhusu mambo haya,lakini kwa sasa Museveni ameshapigwa pini(amefungwa mdomo) na wenye biashara hizi kiasi kwamba sasa hivi sio yule Museveni halisi tena,amekaa kimya na haonekani tena kusimamia misimamo yake ya nyuma.Thabo Mbeki naye yalimtokea hayohayo,ila Mbeki aliendelea kuwa na msimamo uleule mpaka alipotolewa kwenye kiti cha urais,sasa hivi Mbeki haropoki tu kwa kila mtu kuhusu mambo haya,ameshajua kina nani wako nyuma yake.Kupingana na watu waliokuwa nyuma ya mambo haya ni sawa na kuweka maisha yako rehani.

Kumbuka,si rahisi kupata mambo haya kwenye public.Angalia video hiyo hapo chini ili ujue kwa nini Mbeki alikuwa na uhakika na kile alichosimamia.

1.Prof.Peter Duesberg ndiye aliyekuwa mshauri wa masuala ya afya ya Mbeki,na ndiye huyuhuyu Duesberg anayeongoza HIV/AIDS dissidents kwa kusema HIV does not cause AIDS.

2.Kwenye hiyo video hapo chini utapata kitu kingine kilichomstua zaidi Mbeki.Njia pekee ya uhakika kuamini maneno ya kwenye video hii ni kupata ushuhuda kutoka kwa Mbeki mwenyewe,nasema hivyo kwa sababu najua kuna watu watasema video hii ni propaganda na haina ukweli wowote.Sasa ili kupata ukweli wa uhakika Mbeki ndiye shahidi wa maneno haya.

video link: George Bush knows ''HIV'' is NOT the cause of ''AIDS'' - NaturalNews.tv

au https://www.youtube.com/watch?v=KuXZMdAfbHY

Pia tuwe na utaratibu wa kufuatilia comments za watu kutoka nchi nyingine chini ya video kama hizi ili tuone mawazo yao yakoje kwenye masuala kama haya.Maana watu wengi wanaposikia mimi nasema haya wanaoana ni mambo mageni sana,sasa inabidi muangalie na comments chini ya video ndio mtakapoona kwamba sisi Tanzania tuko nyuma sana kiuelewa.

Kama una muda mfuatilie Mbeki hapa.

https://www.nelsonmandela.org/omall...5/04lv04206/05lv04302/06lv04303/07lv04313.htm
 
Mkuu,vipi kuhusu mbadilishano wa manii,maana si wote mtafika kileleni kwa maana ya wote kutoa semen

siamini km manii zina virus maana km zingekuwa na virus isingewezekana kwa mama na baba waathirika.kupata mtoto asiye na ukimwi.
 
Mkuu what I can assure you is that all fluids in human body is AIDS career. The most important thing is that make sure you know the difference between AIDS and HIV may be that can help to understant what I meant.

maji maji yanarahisisha usafirishaji wa damu inayobeba virus cyo kuwa yana virusi.muulize mama mwe virus anamnyonyeshaje mtoto ambae hajaathirika km maji maji yote yana virus wasinge ruhusu watoto kunyonyeshwa wanachoshauri ni kuhakikisha hapatokei michubuko.na si salama kunyonyesha hasa mtoto akiota meno.
 
Mkuu Deception salute Mkuu, katika hiyo link ya mwisho uliyoitoa baada kusoma. kilichopo ndani nikakutana na nisichokijua na nikafunguka zaidi akili, kuhusu uwongo unaofanywa na Makampuni ya madawa juu ya ungonjwa wa Peptic ulcers.
Tusipokuwa wawelevu na kuwa wadadisi wa mambo jamaa watatuokota sana na kutafanya mtaji wa maendeleo yao wakati sisi tunazidi kuumia.
Kwa upande wa pili wanakuja na kudai wanatusaidi kuondokana, au kututibu kumbe wana agenda yao binafsi ya kutufanya tuwe wateja wao wa kudumu kwa kutuongezea maradhi.
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli kabisa,cha msingi ni watu kubadilika na kupenda kuhoji/kudadisi zaidi pale wanaposikia habari tofauti na zile walizozizoea,huwa nafarijika sana kuona watu kama wewe mna juhudi sana kufuatilia mambo kama haya,hongera sana na utajua zaidi ya hayo,jipe muda tu.

Kuna watu bado wako rigid na bongo zao zina ganzi,wanapinga bila hata kujua wanachokipinga,wengine wanakuja na kauli za vitisho(mikwara) eti mimi napotosha na ninastahili kuadhibiwa.Nawasikitikia sana watu hawa kwa kuwa hawajui mambo mengi sana.Hawajui pia kama kuna kesi kama kesi kama hii ilishawahi kuzungumzwa sehemu tofauti duniani na wale wanaosema kwamba HIV hasababishi AIDS walishanda mara zote mahakamani,watu wengi hawajui mambo haya.

Kuna kesi moja ilifanyika Ujerumani na watu wanaopinga HIV/AIDS hypothesis walishinda kirahisi sana.Nawakaribisha wale wanaotoa vitisho dhidi yangu na ninawaambia kwamba waache mikwara,kama wako tayari wafungue kesi mahakamani ili jamii ijue ukweli kupitia kesi hiyo.

Mahakamani nitashinda,tukirudi kwenye sayansi/nadharia pia nitashinda,tukirudi kwenye uhalisia ulivyo mtaani na mahospitalini pia nitashinda.Kinachonisikitisha mpaka sasa hakuna mtu anayenipinga kwa hoja zaidi ya kuleta siasa kwenye jambo la msingi kama hili.Watu wanazidi kufa kwa ARVs halafu wao wanatetea upuuzi huu.

Zaidi ya yote nakupa hongera kwa kuwa na juhudi ya kufuatilia mambo haya.
 
Yes,hii ndio habari...sio kila wakati siasa tuuu hadi kwenye afya zetu
 
Wadau,

Nimeisoma kwa umakini mkubwa sana thread ya mdau mmoja aliyekata shauri na kuamua kwenda kupima HIV!

Kiukweli kabisa toka katika uvungu wa moyo wangu nampongeza sana na Mwenyezi Mungu amuokoe huyu ndugu! Lakini kati ya wachangiaji waliosimama kidedea kuchangia thread hii, mchangiaji mmoja nimemnukuu akisema, "hukujua kuwa kupata UKIMWI ni kazi ngumu sana.."

Na kwa bahati mbaya alipoombwa kutoa elimu na uzoefu wake na baadhi ya wadau, hakuonekana tena! Usemi huu umeibua tafakari na tafakuri nyingi katika halmashauri yangu ya kichwa, nikirejea na siku za mgongoni nikiwa darasani mwalimu pia aliwahi kusema maneno sawia na ya mchangiaji wa leo na toka ya hapo, swali hili limetoka katika tawala za kichwa changu kwamba, "Je, inawezekana mtu akalala (siyo kulala huku kwa kawaida, tafsida imezingatiwa) na mtu mwenye UKIMWI tena bila condom na asipate UKIMWI?".

Nisaidieni wadau.

Nawasilisha.

======

Jaribu kuvuka barabara kuu mida ya saa 4 asubuhi huku umefunga macho.
Utapata jibu sahihi.
 
Nimefatilia maelezo mengi sana ya Bwana Deception.
Mi naomba kwa sasa tufunge vitabu,makala,majarida,maabara tuje katika uhalisia.

Yeye anapinga uwepo wa kirusi kiitwacho HIV ambacho kinasababisha UKIMWI.

NAMUOMBA YEYE BINFASI AJE AU TUKUTANE NA MIMI NIMU INJECT DAMU YA MGONJWA MWENYE UKIMWI kisha tupeane muda usiopungua Miezi sita kisha tuone HAKIKA YA JAMBO HILI KATIKA MWILI WAKE.

NAMBA ZANGU NI 0714 565 885
 
Cc: Deception
 
Tayari kuna mtu nimeshapanga naye kufanya hii kitu.Siwezi kumkubalia kila mtu kwa sababu ya security.Unaweza usinielewe,lakini kama ukijua ukweli mzima kuhusu nguvu zilizo nyuma ya biashara hii labda ndio utanielewa.

Huyu niliyepanga naye kwa sasa anatosha kuwapa wengine ushuhuda kama atakubali.Yeye ni doctor,nadhani na nategemea atakuwa shuhuda mzuri kwenu.Ukitaka kuamini ninayosema fuatilia uzi huu hapa page ya 10,reply number 185.

https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/948478-v-v-u-na-upimaji-wake-coincidences-9.html
 
Mi nitaamini vipi kama ni mtu umempanga wewe......Mi nimekuomba hivyo kwasababu mada zako nimehudhurisha katika Group langu la Afya la Whatsapp nimeona Tufike Tamati kwa hili kwa kukufanya wewe uwe GUINE PIG kwa kukubali TUKU INJECT damu ya Mgonjwa wa UKIMWI kisha tukupe miezi sita TUJE HAPA NA KWENYE GROUP LANGU utoe USHUHUDA WA HILI.
MI SIWEZI KUKUBALI MTU AMBAYE SINA HAKIKA NA UKWELI WAKE.

NA KAMA HAIWEZEKANI NAOMBA HUYU MTU WAKATI ANAKU INJECT DAMU NIWE NAYE,NA MWENYEWE NIITHIBITISHA HIYO DAMU KUWA KWELI NI YA MTU MWENYE UKIMWI.
NA USIWE NA WASIWASI JAMBO HILI TUNALIFANYA KWA KUFUATA TARATIBU ZOTE ZA KISHERIA,na kwa taarifa tu nishamuandaa mwanasheria katika hili KWA AJILI YA USALAMA WAKO NA USALAMA WANGU.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom