Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Saint H.Jr

Member
Aug 22, 2013
47
40
Wadau,

Nimeisoma kwa umakini mkubwa sana thread ya mdau mmoja aliyekata shauri na kuamua kwenda kupima HIV!

Kiukweli kabisa toka katika uvungu wa moyo wangu nampongeza sana na Mwenyezi Mungu amuokoe huyu ndugu. Lakini kati ya wachangiaji waliosimama kidedea kuchangia thread hii, mchangiaji mmoja nimemnukuu akisema, "hukujua kuwa kupata UKIMWI ni kazi ngumu sana.."

Na kwa bahati mbaya alipoombwa kutoa elimu na uzoefu wake na baadhi ya wadau, hakuonekana tena! Usemi huu umeibua tafakari na tafakuri nyingi katika halmashauri yangu ya kichwa, nikirejea na siku za mgongoni nikiwa darasani mwalimu pia aliwahi kusema maneno sawia na ya mchangiaji wa leo na toka ya hapo, swali hili limetoka katika tawala za kichwa changu kwamba, "Je, inawezekana mtu akalala (siyo kulala huku kwa kawaida, tafsida imezingatiwa) na mtu mwenye UKIMWI tena bila condom na asipate UKIMWI?".

Nisaidieni wadau.

Nawasilisha.

======

Virus vinaishi kwenye damu. Watu wamejaribu kupambanua njia tofauti tofauti za maambukzi. Ila njia ni moja tu. Kukiwa na muingiliano wa damu kati ya muathirika na asiye athirika.

Kwa wanawake ni rahisi sana kuambukizwa kutokana na jinsi maumbile yao yalivyo. Katika uke wa mwanamke kuna chembe chembe nyeupe za damu nyingi hususni wa kati wa tendo husika. Na tunajua HIV huwa vinaishi ndani ya WBC.

Ishu za manii ama orgasm fluids zinapotoka huwa hazina uhalisia wa moja kwa moja wa kuwa na VVU
 
Kama mwanamke ndiye ana virusi vinavyosababisha Ukimwi na mwanaume hana, mwanaume anaweza asiambukizwe virusi hivyo endapo hakutakuwa na misuguano mikubwa itakayosababisha michubuko wakati wa kuingiliana (katika uke).

Hii inaweza kuwa kwa sababu mwanamke alikuwa ametoa vilainisho vya asili au walitumia mafuta ya maji ya kulainisha.

However it is not worth it kwenda kavu hata mwanamke awe wa aina gani.
 
Kama mwanamke ndiye ana virusi vinavyosababisha ukimwi na mwanaume hana, mwanaume anaweza asiambukizwe virusi hivyo endapo hakutakuwa na misuguano mikubwa itakayosababisha michubuko wakati wa kuingiliana (katika uke). Hii inaweza kuwa kwa sababu mwanamke alikuwa ametoa vilainisho vya asili au walitumia mafuta ya maji ya kulainisha.

However it is not worth it kwenda kavu hata mwanamke awe wa aina gani.

Mkuu, vipi kuhusu mbadilishano wa manii,maana si wote mtafika kileleni kwa maana ya wote kutoa semen.
 
Mkuu,vipi kuhusu mbadilishano wa manii,maana si wote mtafika kileleni kwa maana ya wote kutoa semen

Virusi vinaishi kwenye damu. Watu wamejaribu kupambanua njia tofauti tofauti za maambukizi. Ila njia ni moja tu. Kukiwa na muingiliano wa damu kati ya muathirika na asiye athirika.

Kwa wanawake ni rahisi sana kuambukizwa kutokana na jinsi maumbile yao yalivyo. Katika uke wa mwanamke kuna chembe chembe nyeupe za damu nyingi hususani wakati wa tendo husika. Na tunajua HIV huwa vinaishi ndani ya WBC.

Ishu za manii ama orgasm fluids zinapotoka huwa hazina uhalisia wa moja kwa moja wa kuwa na VVU
 
Mkuu what I can assure you is that all fluids in human body is AIDS career. The most important thing is that make sure you know the difference between AIDS and HIV may be that can help to understant what I meant.

This is not quite practical. HIV both I&II finds a home in hosts WBC.

Je unajua baada ya virus kuingia ndani ya mwili wa binadamu. At very first stage within 72 hours ni kuishi kwenye lymphatic nodes?

Hapo ndipo PEP hufanya kazi za kuzuia HIV kwenda kwenye WBC. Mwisho wa siku virus wanakufa na kuwa dormant kabisa.

Tambua na ijulikane. Virusi wa UKIMWI amekuwa laboratory engineered to live and produce replica in white blood cell..
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom