Inawezekana Magufuli sio tatizo?

Vitanda siyo tatizo tena hilo lilishatatuliwa na viko vya kutosha tu ila tatizo ni nafasi utaviweka wapi?
Sehemu kubwa ya Wagonjwa wanaokuja Muhimbili hawakupaswa hata kuja Muhimbili bali kwa hali ya kawaida walipaswa waende kwenye Hospitali zao za Wilaya kama M'mala, Amana, Temeke na zinginezo lkn hizi zote zimetelekezwa kwa miaka mingi sasa huwezi kutegemea miujiza leo hii, hii sekta ya Afya ina changamoto kubwa sana na ndiyo wengine tunapinga kutumia fedha nyingi kujenga daraja la Kigamboni ambao halina umuhimu mkubwa kwa wakazi wa Dar badala hizi fedha zingeelekezwa kwenye mambo ya jamii kama Afya nina Imani Kigamboni wangepata Hospitali ya hadhi ya Amana, Tegeta wangepata, Tabata wangepata hii ingesaidia sana lkn Watz wenyewe wanataka Daraja Kigamboni wakapige picha!
Tatizo vijana wa lumumba tangu muombewe kufikiriwa,akili zimewatoka kabisa..! Hebu tuambie hapo waliotandika chini kitanda hakiwezi kukaa!??
1455164909666.jpg
Punguzeni ushabiki hii nchi yetu sote.
 
Leo ukifuatilia taarifa ya habari Magufuli katembelea tena Muhimbili kwa kustukiza
kakuta matatizo tele hasa amewakuta wamama waki share vitanda hadi watu watano
na wengine wakilala chini.....

Utakumbuka few months ago tulitangaziwa kuwa baada ya Magufuli kwenda Muhimbili
vitanda vilipelekwa hadi vikakosa wagonjwa
kuna picha zilisambazwa paka kalalia kitanda kipya Muhimbili
na kwamba sasa mambo ni tofauti kabisa...vitanda tele na kila kitu saafi

Sasa binafsi siamini kabisa Muhimbili imewahi kuwa safi na matatizo yakaisha
ambacho najiuliza why 'maigizo yale ya kuwa mambo ni saafi' yaliruhusiwa
kuendelea ?

why sisi wananchi na waandishi wa habari hatukupinga kabisa habari za kuwa
mambo ni saafi muhimbili?
why habari ya leo iwe kama habari mpya
while in reality watu wameendelea kulala chini tu kama zamani?

Inawezekana kabisa tatizo haliko kwa wanasiasa?

tatizo liko kwetu wananchi na hasa media?
tumeletewa 'sanaa tukaishangilia huku ukweli tunaujua'?
sababu muhimbili hali yake sio siri
lakini tulipoambiwa mambo sasa ni saafi tuliruka ruka na kushangilia...
huku kiukweli hali ni ile ile tu.....

Na leo tena wananchi wamemlilia tena Magufuli bila kujiuliza
ni kweli Magufuli hali iliyopo haijui?si alikwenda juzi tu hapo hapo Muhimbili?
au haya matatizo ni mapya kabisa?
Tatizo watanzania wengi wamekaa kichama zaid kwa mfano wakiona mwana Ccm amefanya kitu hata kama Si kikubwa wanakikuza, wanakisifia bila kujua je ni kweli au uongo tukiendelea na huu ushabiki tutashuhudia matatizo makubwa sana mbeleni.
 
Correction: Pombe alikwenda Muhimbili kumjulia hali sheikh wa Bakwata aliyelazwa hapo, akiwa aneo la hospital kinamama wakamsonga na kumuomba akajionee mateso wanayopata wodi ya wazazi na akakuta hayo aliyoyakuta.

Je kungekuwa hakuna mgonjwa mashuhuri wa kwenda kumjulia hali hapo hospital pangeendelea kubaki hivyohivyo bila kumulikwa?

Yule waziri dr kilaza anayewahi asubuhi wizara ya afya na kufungia mageti wachelewaji yuko wapi?

Kinamama wanaolala chini hospital za huko Tandahimba watatuliwa tatizo lao baada ya nani kwenda hapo hospital au Pombe ni spiderman atakuwa anapaa hewani kukagua wodi zote tanzania?

Yeah, ulichoandika ndicho kilichotokea, lakini katika kusoma kwangu kuna neno umelitumia(Sheikh wa BAKWATA),
nmecheka kimoyomoyo.
 
Tatizo la Wagonjwa kushirikiana vitanda halisababishwi na uhaba wa vitanda, bali linasababishwa na uwingi wa wagonjwa na nafasi ni ndogo hivyo hakuna kitu Muhimbili wanaweza kufanya kwa maana hakuna nafasi sasa vitanda wataviweka wapi?

Changamoto kwenye sekta ya Afya kama kulivyo sehemu nyingine bado ni kubwa sana, ni lazima kwanza Hospitali zetu za Wilaya kama Amana, Temeke, Mwananyamala zote ziboreshwe na pia kujengwa nyingine zitakazoendana na idadi ya wakazi wa Dar, kumbuka Hospitali zote Dar zimejengwa wakati Dar ikiwa na wakazi chini ya milioni Moja leo hii tuko zaidi ya milioni 4.5 na kila mama anapata wastani wa watoto 2.6 Tanzania ambayo ni kasi kubwa sana!

Kwa CCM hii haya matatizo yataendelea milele yote...Take my words

CCM imeishiwa Pumzi....Mlidhani kingunge alikua anaongea out of no information
 
Mkuu hili mbona tumelizungumza sana humu
lakini serikali imeweka pamba masikioni
hata foleni pia tatizo ni hili
lakini wanazidi kupanua barabara badala ya ku address hili tatizo
kila siku wanapanua Muhimbili
mara wanapanua bandari
mara wanapanua airport
utasema Dar ndo Tanzania
Mimi kwa kweli sijawahi kuona serikali au viongozi wetu wanatatua tatizo likaisha sijui tatizo ni nini. Hata vitu vidogo vinawashinda uchafu tu unawashinda kusimamia.watajifanya wakali na vifaini siku mbili tatu uchafu upo palepale hakuna anayejali nao wanapita kila siku na wanaona.ukienda kwenye elimu shida watoto bado wana kaa chini hadi leo kuna shule za serikali mikoani hazina hata paa. Ukija ktk afya matatizo ni yale yale maisha yote.foleni maji ujambazi ufisadi hakuna kitu tunaweza kusema jamani hiki serikali imebadilisha na si tatizo tena.
Sasa ni nini kila kitu hawajawahi kuweza.
 
Mimi nilikuwa nimempa siku 90 toka aapishwe...nasikitika kuripoti kuwa bado nipo kwenye mshangao, inaelekea tuliuziwa mbuzi kwenye gunia. Kikwete ilidaiwa aliangushwa na wasaidizi wake, Magufuli sina hakika anaangushwa na nani, oops, Mzee Mwanakijiji ananinong'oneza kuwa Magufuli anaangushwa na wale wanaotaka serikali yake ianguke isifanikiwe. Siku watu watakapogutuka na kung'amua jipu linalohitaji kutumbuliwa ni lipi hasa, tutapona hapo hapo.

Naona vijana wa Lowassa sasa mmetoka mafichoni baada ya kupata cha kuongea. Eti CCM ni ile ile ila Chadema ya Lowassa na Rostam ndio mpya hahahaha.

Sisi tutaendelea kumsapoti huyu huyu mzalendo wetu japo ajafanya kila kitu ndani ya siku 100 ila kafanya mengi yanayotia moyo na tutamsapoti mpaka dakika ya mwisho na hao matapeli wenu hatutoruhusu wakanyage ikulu.
 
Sometimes uache utoto hizi habari kawaambie facebook,
The plan should be there in order to tackle the situation...
Huwezi ukaja na majibu mepesi hivi kama umeamkia kwa mchepuko...
Vitanda vilinunuliwa kwaajili ya ward ya kawaida haikuwa ya wazazi...kwa hiyo swala la ward ya wazazi ni case mpya ambayo ina hitaji ufumbuzi!
 
Leo ukifuatilia taarifa ya habari Magufuli katembelea tena Muhimbili kwa kustukiza
kakuta matatizo tele hasa amewakuta wamama waki share vitanda hadi watu watano
na wengine wakilala chini.....

Utakumbuka few months ago tulitangaziwa kuwa baada ya Magufuli kwenda Muhimbili
vitanda vilipelekwa hadi vikakosa wagonjwa
kuna picha zilisambazwa paka kalalia kitanda kipya Muhimbili
na kwamba sasa mambo ni tofauti kabisa...vitanda tele na kila kitu saafi

Sasa binafsi siamini kabisa Muhimbili imewahi kuwa safi na matatizo yakaisha
ambacho najiuliza why 'maigizo yale ya kuwa mambo ni saafi' yaliruhusiwa
kuendelea ?

why sisi wananchi na waandishi wa habari hatukupinga kabisa habari za kuwa
mambo ni saafi muhimbili?
why habari ya leo iwe kama habari mpya
while in reality watu wameendelea kulala chini tu kama zamani?

Inawezekana kabisa tatizo haliko kwa wanasiasa?

tatizo liko kwetu wananchi na hasa media?
tumeletewa 'sanaa tukaishangilia huku ukweli tunaujua'?
sababu muhimbili hali yake sio siri
lakini tulipoambiwa mambo sasa ni saafi tuliruka ruka na kushangilia...
huku kiukweli hali ni ile ile tu.....

Na leo tena wananchi wamemlilia tena Magufuli bila kujiuliza
ni kweli Magufuli hali iliyopo haijui?si alikwenda juzi tu hapo hapo Muhimbili?
au haya matatizo ni mapya kabisa?
Hujui kitu kalee wajukuu.
 
Waziri--Ummy Mwalim
Naibu--Hamis Andrea Kigwangala

Subirini suluhisho la matatizo ya afya Bwana Yesu atakaporudi
 
Magufuli anafanya kila analoweza kuboresha hali ya afya nchini, hii sio kitu cha siku mia moja kama mnavyotaka kuiweka.

Muhimbili kuna changamoto sio kidogo wala sio za kumaliza miezi mitatu. Lakini tumeanza kuona juhudi zake lakini kuna watu umu wanataka tusipongeze juhudi alizoanza kuonyesha.

Kuna vingi vimefanyika hapo Muhimbili ila wenye nongwa wamesubiri kuona mapungufu ndio waje kuporomosha lawama kama kawaida yao ila likifanyika zuri hautakaa uwaone wakipongeza na pia awapendi kuona tunaappreciate chochote kizuri toka kwa Magufuli.
 
Leo ukifuatilia taarifa ya habari Magufuli katembelea tena Muhimbili kwa kustukiza
kakuta matatizo tele hasa amewakuta wamama waki share vitanda hadi watu watano
na wengine wakilala chini.....

Utakumbuka few months ago tulitangaziwa kuwa baada ya Magufuli kwenda Muhimbili
vitanda vilipelekwa hadi vikakosa wagonjwa
kuna picha zilisambazwa paka kalalia kitanda kipya Muhimbili
na kwamba sasa mambo ni tofauti kabisa...vitanda tele na kila kitu saafi

Sasa binafsi siamini kabisa Muhimbili imewahi kuwa safi na matatizo yakaisha
ambacho najiuliza why 'maigizo yale ya kuwa mambo ni saafi' yaliruhusiwa
kuendelea ?

why sisi wananchi na waandishi wa habari hatukupinga kabisa habari za kuwa
mambo ni saafi muhimbili?
why habari ya leo iwe kama habari mpya
while in reality watu wameendelea kulala chini tu kama zamani?

Inawezekana kabisa tatizo haliko kwa wanasiasa?

tatizo liko kwetu wananchi na hasa media?
tumeletewa 'sanaa tukaishangilia huku ukweli tunaujua'?
sababu muhimbili hali yake sio siri
lakini tulipoambiwa mambo sasa ni saafi tuliruka ruka na kushangilia...
huku kiukweli hali ni ile ile tu.....

Na leo tena wananchi wamemlilia tena Magufuli bila kujiuliza
ni kweli Magufuli hali iliyopo haijui?si alikwenda juzi tu hapo hapo Muhimbili?
au haya matatizo ni mapya kabisa?
Matatizo katika sekta ya afya hayataisha kwa "ziara za kushtukiza" na maagizo au matamko ya wanasiasa hata siku moja!! Kama kweli tunataka mabadiliko yenye tija na ya kudumu katika hii sekta, kuna vitu vingi sana tunatakiwa kufanya!!
Haya mambo ya maagizo na ziara za ghafla zita achieve only a partial and superficial effect. Na muhimbili specifically, matatizo yake ni deep-seated. Tatizo sasa hivi ukiongea katika muktadha huo unaonekana mchawi tuu, kila mtu yuko "super-excited"The Boss
 
Tatizo vijana wa lumumba tangu muombewe kufikiriwa,akili zimewatoka kabisa..! Hebu tuambie hapo waliotandika chini kitanda hakiwezi kukaa!??
View attachment 322449 Punguzeni ushabiki hii nchi yetu sote.

Wewe hauna akili kwanza hiyo picha ni ya lini? Hiyo picha ni kabla ya Utawala wa Raisi Magufuli, sasa nakupa changamoto kapige picha kama hiyo kwenye Hospitali hapa Dar halafu ulete tena!
 
Ndani ya siku 100 mahitaji yameongezeka kupita kasi ya Rais?
Sasa tukirudi ktk swali lako tatizo ni magufuli kwa sababu kutoa kauli na maelekezo ni moja kusimamia na kuhakikisha yanatekelezwa ni kitu kingine.uongozi si tu kutoa tamko mabadiliko lazima uhakikishe yametokea.ki ukweli magufuli ama uozo ni mkubwa sana alivyotarajia hivyo umemshinda au hajafanya kazi yake vzr ya kuwabana watendaji wake vzr kuleta mabadiliko.
 
Nimeanza kuelewa alichoimba Ney wa mitego kwa huu wimbo uliofungiwa specifically ile verse ya "Mawaziri na waandishi wao"
 
Vitanda siyo tatizo tena hilo lilishatatuliwa na viko vya kutosha tu ila tatizo ni nafasi utaviweka wapi?
Sehemu kubwa ya Wagonjwa wanaokuja Muhimbili hawakupaswa hata kuja Muhimbili bali kwa hali ya kawaida walipaswa waende kwenye Hospitali zao za Wilaya kama M'mala, Amana, Temeke na zinginezo lkn hizi zote zimetelekezwa kwa miaka mingi sasa huwezi kutegemea miujiza leo hii, hii sekta ya Afya ina changamoto kubwa sana na ndiyo wengine tunapinga kutumia fedha nyingi kujenga daraja la Kigamboni ambao halina umuhimu mkubwa kwa wakazi wa Dar badala hizi fedha zingeelekezwa kwenye mambo ya jamii kama Afya nina Imani Kigamboni wangepata Hospitali ya hadhi ya Amana, Tegeta wangepata, Tabata wangepata hii ingesaidia sana lkn Watz wenyewe wanataka Daraja Kigamboni wakapige picha!
Barbarosa leo umeongea point sana katika hili la kuboresha hospitali hizi za chini; Yaani mfumo wetu wa rufaa umekufa kabisa!! Na hili ndio tatizo kubwa!! Hospitali za chini, na vituo vya afya viko hoi bin taaban, matokeo yake kila mtu anataka kwenda hospitali ya rufaa au hospitali ya taifa!!
 
Leo ukifuatilia taarifa ya habari Magufuli katembelea tena Muhimbili kwa kustukiza
kakuta matatizo tele hasa amewakuta wamama waki share vitanda hadi watu watano
na wengine wakilala chini.....

Utakumbuka few months ago tulitangaziwa kuwa baada ya Magufuli kwenda Muhimbili
vitanda vilipelekwa hadi vikakosa wagonjwa
kuna picha zilisambazwa paka kalalia kitanda kipya Muhimbili
na kwamba sasa mambo ni tofauti kabisa...vitanda tele na kila kitu saafi

Sasa binafsi siamini kabisa Muhimbili imewahi kuwa safi na matatizo yakaisha
ambacho najiuliza why 'maigizo yale ya kuwa mambo ni saafi' yaliruhusiwa
kuendelea ?

why sisi wananchi na waandishi wa habari hatukupinga kabisa habari za kuwa
mambo ni saafi muhimbili?
why habari ya leo iwe kama habari mpya
while in reality watu wameendelea kulala chini tu kama zamani?

Inawezekana kabisa tatizo haliko kwa wanasiasa?

tatizo liko kwetu wananchi na hasa media?
tumeletewa 'sanaa tukaishangilia huku ukweli tunaujua'?
sababu muhimbili hali yake sio siri
lakini tulipoambiwa mambo sasa ni saafi tuliruka ruka na kushangilia...
huku kiukweli hali ni ile ile tu.....

Na leo tena wananchi wamemlilia tena Magufuli bila kujiuliza
ni kweli Magufuli hali iliyopo haijui?si alikwenda juzi tu hapo hapo Muhimbili?
au haya matatizo ni mapya kabisa?
hii ni ya kukurupuka mzee
 
Kuna vitu Magufuli na d whoever cares anaweza kuboresha Muhimbili. Lakini kuna matatizo yatabaki pale pale kama sababu za msingi hazitapatiwa ufumbuzi.

Muhimbili bado haifanyi kazi kama hospital ya taifa. Vitu ambavyo vingeishia Temeke, Amana na Mwananyamala vinapelekwa Muhimbili. Kwa mfano, uzazi wa kawaida ambao hauna complication ulipaswa kuishia Temeke, Amana na Mwananyamala. Kwa maana hiyo wingi wa wagonjwa na hatimaye ukosefu wa vitanda ni product ya tatizo hilo.

Lakini si vyema kulaumu hospital za Temeke, Amana na Mwananyamala. Nazo zinapokea cases ambazo zingeishia kwenye vituo vya afya au zahanati. Finally, tatizo ni huduma za msingi kuwa mbovu au kutokuwepo.
 
Hakuna kitu Muhimbili watafanya, hakuna nafasi wamezidiwa na wagonjwa sasa hivyo vitanda wataviweka wapi? Hilo ndiyo swali!
Imefika wakati sasa tuanze kuliangalia swala la ongezeko la watu , tunazaliana sana matokeo yake ndiyo hayo kila huduma hazitoshi!
Ach uongo. Nafasi ziko tele.tena kuna majengo mapya hayatumiki
 
Back
Top Bottom