Inawezekana Magufuli sio tatizo?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,847
Leo ukifuatilia taarifa ya habari Magufuli katembelea tena Muhimbili kwa kustukiza
kakuta matatizo tele hasa amewakuta wamama waki share vitanda hadi watu watano
na wengine wakilala chini.....

Utakumbuka few months ago tulitangaziwa kuwa baada ya Magufuli kwenda Muhimbili
vitanda vilipelekwa hadi vikakosa wagonjwa
kuna picha zilisambazwa paka kalalia kitanda kipya Muhimbili
na kwamba sasa mambo ni tofauti kabisa...vitanda tele na kila kitu saafi

Sasa binafsi siamini kabisa Muhimbili imewahi kuwa safi na matatizo yakaisha
ambacho najiuliza why 'maigizo yale ya kuwa mambo ni saafi' yaliruhusiwa
kuendelea ?

why sisi wananchi na waandishi wa habari hatukupinga kabisa habari za kuwa
mambo ni saafi muhimbili?
why habari ya leo iwe kama habari mpya
while in reality watu wameendelea kulala chini tu kama zamani?

Inawezekana kabisa tatizo haliko kwa wanasiasa?

tatizo liko kwetu wananchi na hasa media?
tumeletewa 'sanaa tukaishangilia huku ukweli tunaujua'?
sababu muhimbili hali yake sio siri
lakini tulipoambiwa mambo sasa ni saafi tuliruka ruka na kushangilia...
huku kiukweli hali ni ile ile tu.....

Na leo tena wananchi wamemlilia tena Magufuli bila kujiuliza
ni kweli Magufuli hali iliyopo haijui?si alikwenda juzi tu hapo hapo Muhimbili?
au haya matatizo ni mapya kabisa?
 
..tatizo ni hao waandishi wanaofanya kazi kwa kufuata bahasha za khaki,binafsi sioni kabisa kosa la mwananchi wa kawaida kama mimi,ambae niko mbali na muhimbili.
Naletewa habari naisoma,tena na picha wanaweka kuthibitisha habari zao za uongo!
 
Tatizo kubwa ni Media ambayo ilichukua hili swala kwa utashi wa kutaka kuuza (kasi ya awamu mpya) wakati wakitoa matumaini hewa kwa wananchi."Muhimbili ile ileee "..sababu hata CT scan iliyoletwa kumbe ilikuwa ni ya Dodoma wamefanya kuhamisha tu.
 
Mkuu,
Watu watano waja wazito kwenye kitanda kimoja cha Hospitali!!!??????? Seriously mkuu!!?? Tuwe tunapunguza kidogo ukali wa Munyu. Nilikuwa pale katika muda huo...na waliokuwa wanachangia vitanda unakuta kuna kina mama wawili tu kwa kitanda...japo bado sio sawa.
 
Leo ukifuatilia taarifa ya habari Magufuli katembelea tena Muhimbili kwa kustukiza
kakuta matatizo tele hasa amewakuta wamama waki share vitanda hadi watu watano
na wengine wakilala chini.....

Utakumbuka few months ago tulitangaziwa kuwa baada ya Magufuli kwenda Muhimbili
vitanda vilipelekwa hadi vikakosa wagonjwa
kuna picha zilisambazwa paka kalalia kitanda kipya Muhimbili
na kwamba sasa mambo ni tofauti kabisa...vitanda tele na kila kitu saafi

Sasa binafsi siamini kabisa Muhimbili imewahi kuwa safi na matatizo yakaisha
ambacho najiuliza why 'maigizo yale ya kuwa mambo ni saafi' yaliruhusiwa
kuendelea ?

why sisi wananchi na waandishi wa habari hatukupinga kabisa habari za kuwa
mambo ni saafi muhimbili?
why habari ya leo iwe kama habari mpya
while in reality watu wameendelea kulala chini tu kama zamani?

Inawezekana kabisa tatizo haliko kwa wanasiasa?

tatizo liko kwetu wananchi na hasa media?
tumeletewa 'sanaa tukaishangilia huku ukweli tunaujua'?
sababu muhimbili hali yake sio siri
lakini tulipoambiwa mambo sasa ni saafi tuliruka ruka na kushangilia...
huku kiukweli hali ni ile ile tu.....

Na leo tena wananchi wamemlilia tena Magufuli bila kujiuliza
ni kweli Magufuli hali iliyopo haijui?si alikwenda juzi tu hapo hapo Muhimbili?
au haya matatizo ni mapya kabisa?

Tatizo la Wagonjwa kushirikiana vitanda halisababishwi na uhaba wa vitanda, bali linasababishwa na uwingi wa wagonjwa na nafasi ni ndogo hivyo hakuna kitu Muhimbili wanaweza kufanya kwa maana hakuna nafasi sasa vitanda wataviweka wapi?

Changamoto kwenye sekta ya Afya kama kulivyo sehemu nyingine bado ni kubwa sana, ni lazima kwanza Hospitali zetu za Wilaya kama Amana, Temeke, Mwananyamala zote ziboreshwe na pia kujengwa nyingine zitakazoendana na idadi ya wakazi wa Dar, kumbuka Hospitali zote Dar zimejengwa wakati Dar ikiwa na wakazi chini ya milioni Moja leo hii tuko zaidi ya milioni 4.5 na kila mama anapata wastani wa watoto 2.6 Tanzania ambayo ni kasi kubwa sana!
 
Hii habari ni kweli AU mna pass time????
 
Correction: Pombe alikwenda Muhimbili kumjulia hali sheikh wa Bakwata aliyelazwa hapo, akiwa aneo la hospital kinamama wakamsonga na kumuomba akajionee mateso wanayopata wodi ya wazazi na akakuta hayo aliyoyakuta.

Je kungekuwa hakuna mgonjwa mashuhuri wa kwenda kumjulia hali hapo hospital pangeendelea kubaki hivyohivyo bila kumulikwa?

Yule waziri dr kilaza anayewahi asubuhi wizara ya afya na kufungia mageti wachelewaji yuko wapi?

Kinamama wanaolala chini hospital za huko Tandahimba watatuliwa tatizo lao baada ya nani kwenda hapo hospital au Pombe ni spiderman atakuwa anapaa hewani kukagua wodi zote tanzania?
 
Mkuu,
Watu watano waja wazito kwenye kitanda kimoja cha Hospitali!!!??????? Seriously mkuu!!?? Tuwe tunapunguza kidogo ukali wa Munyu. Nilikuwa pale katika muda huo...na waliokuwa wanachangia vitanda unakuta kuna kina mama wawili tu kwa kitanda...japo bado sio sawa.

Hakuna kitu Muhimbili watafanya, hakuna nafasi wamezidiwa na wagonjwa sasa hivyo vitanda wataviweka wapi? Hilo ndiyo swali!
Imefika wakati sasa tuanze kuliangalia swala la ongezeko la watu , tunazaliana sana matokeo yake ndiyo hayo kila huduma hazitoshi!
 
Mkuu,
Watu watano waja wazito kwenye kitanda kimoja cha Hospitali!!!??????? Seriously mkuu!!?? Tuwe tunapunguza kidogo ukali wa Munyu. Nilikuwa pale katika muda huo...na waliokuwa wanachangia vitanda unakuta kuna kina mama wawili tu kwa kitanda...japo bado sio sawa.

Nimeona Azam two tv Magufuli mwenyewe kauliza kwa mshangao watu watano?
wakamjibu ndio
 
Leo ukifuatilia taarifa ya habari Magufuli katembelea tena Muhimbili kwa kustukiza
kakuta matatizo tele hasa amewakuta wamama waki share vitanda hadi watu watano
na wengine wakilala chini.....

Utakumbuka few months ago tulitangaziwa kuwa baada ya Magufuli kwenda Muhimbili
vitanda vilipelekwa hadi vikakosa wagonjwa
kuna picha zilisambazwa paka kalalia kitanda kipya Muhimbili
na kwamba sasa mambo ni tofauti kabisa...vitanda tele na kila kitu saafi

Sasa binafsi siamini kabisa Muhimbili imewahi kuwa safi na matatizo yakaisha
ambacho najiuliza why 'maigizo yale ya kuwa mambo ni saafi' yaliruhusiwa
kuendelea ?

why sisi wananchi na waandishi wa habari hatukupinga kabisa habari za kuwa
mambo ni saafi muhimbili?
why habari ya leo iwe kama habari mpya
while in reality watu wameendelea kulala chini tu kama zamani?

Inawezekana kabisa tatizo haliko kwa wanasiasa?

tatizo liko kwetu wananchi na hasa media?
tumeletewa 'sanaa tukaishangilia huku ukweli tunaujua'?
sababu muhimbili hali yake sio siri
lakini tulipoambiwa mambo sasa ni saafi tuliruka ruka na kushangilia...
huku kiukweli hali ni ile ile tu.....

Na leo tena wananchi wamemlilia tena Magufuli bila kujiuliza
ni kweli Magufuli hali iliyopo haijui?si alikwenda juzi tu hapo hapo Muhimbili?
au haya matatizo ni mapya kabisa?

Bossman,

Humu watu huwa tunapenda sana kumkejeli Lemutuz lakini kuna wakati aliwahi kusema kwamba 'viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe wananchi'.

Hiyo kauli ina ukweli mwingi sana ndani yake.

Cc: Nguruvi3
 
Watanzania tunapenda mambo ya mkato sana tunapenda kudanganyika na vitu vidogo bila kupambanua mambo na kukubali matokeo haraka. Hata kazi ya kutumbua majipu isitufanye tukaona tatizo limekwisha.
 
Tatizo la Wagonjwa kushirikiana vitanda halisababishwi na uhaba wa vitanda, bali linasababishwa na uwingi wa wagonjwa na nafasi ni ndogo hivyo hakuna kitu Muhimbili wanaweza kufanya kwa maana hakuna nafasi sasa vitanda wataviweka wapi?

Changamoto kwenye sekta ya Afya kama kulivyo sehemu nyingine bado ni kubwa sana, ni lazima kwanza Hospitali zetu za Wilaya kama Amana, Temeke, Mwananyamala zote ziboreshwe na pia kujengwa nyingine zitakazoendana na idadi ya wakazi wa Dar, kumbuka Hospitali zote Dar zimejengwa wakati Dar ikiwa na wakazi chini ya milioni Moja leo hii tuko zaidi ya milioni 4.5 na kila mama anapata wastani wa watoto 2.6 Tanzania ambayo ni kasi kubwa sana!

Ukinisoma vizuri sibishi kuwa Muhimbili ina matatizo
na mengine ya mda mrefu
mimi ninachopinga ni watu waliotuambia sasa Muhimbili mambo safi
baada ya ziara ya kwanza ya Magufuli...na vile vitanda vilivyo changishwa wabunge....
napinga hii hali kuonekana mpya wakati hii hali ipo kila siku
 
Hii habari ni kweli AU mna pass time????
Muulize mleta mada..mimi nimechangania kwa sababu sikuona watu watano wanachangia kitanda kimoja pale. After all Mh Rais alienda Muhimbili kumjulia hali Mufti na wala sio kushtukiza Muhimbili hospital.
 
Bossman,

Humu watu huwa tunapenda sana kumkejeli Lemutuz lakini kuna wakati aliwahi kusema kwamba 'viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe wananchi'.

Hiyo kauli ina ukweli mwingi sana ndani yake.

Cc: Nguruvi3
Yaani leo nimeshangazwa mno na sisi watanzania tulivyo

eti Magufuli anarudi pale pale kutoa ahadi ile ile na inakuwa ni 'new event'
yaani hata siku 100 hazijaisha....tushasahau
 
Nimeona Azam two tv Magufuli mwenyewe kauliza kwa mshangao watu watano?
wakamjibu ndio
Wewe unatujua Wabongo kwa Munyu!!!???? Tutumie Logic tu wala haitakiwi Uwe rocket scientist pale kwenye kitanda cha Hospitali wakinamama watano wenye ujauzito wanatoshaje mkuu!!!???? I mean seriously!!
 
Mkuu,
Watu watano waja wazito kwenye kitanda kimoja cha Hospitali!!!??????? Seriously mkuu!!?? Tuwe tunapunguza kidogo ukali wa Munyu. Nilikuwa pale katika muda huo...na waliokuwa wanachangia vitanda unakuta kuna kina mama wawili tu kwa kitanda...japo bado sio sawa.
Mmmmmh!
 
Ukinisoma vizuri sibishi kuwa Muhimbili ina matatizo
na mengine ya mda mrefu
mimi ninachopinga ni watu waliotuambia sasa Muhimbili mambo safi
baada ya ziara ya kwanza ya Magufuli...na vile vitanda vilivyo changishwa wabunge....
napinga hii hali kuonekana mpya wakati hii hali ipo kila siku

Vitanda siyo tatizo tena hilo lilishatatuliwa na viko vya kutosha tu ila tatizo ni nafasi utaviweka wapi?
Sehemu kubwa ya Wagonjwa wanaokuja Muhimbili hawakupaswa hata kuja Muhimbili bali kwa hali ya kawaida walipaswa waende kwenye Hospitali zao za Wilaya kama M'mala, Amana, Temeke na zinginezo lkn hizi zote zimetelekezwa kwa miaka mingi sasa huwezi kutegemea miujiza leo hii, hii sekta ya Afya ina changamoto kubwa sana na ndiyo wengine tunapinga kutumia fedha nyingi kujenga daraja la Kigamboni ambao halina umuhimu mkubwa kwa wakazi wa Dar badala hizi fedha zingeelekezwa kwenye mambo ya jamii kama Afya nina Imani Kigamboni wangepata Hospitali ya hadhi ya Amana, Tegeta wangepata, Tabata wangepata hii ingesaidia sana lkn Watz wenyewe wanataka Daraja Kigamboni wakapige picha!
 
w
Wewe unatujua Wabongo kwa Munyu!!!???? Tutumie Logic tu wala haitakiwi Uwe rocket scientist pale kwenye kitanda cha Hospitali wakinamama watano wenye ujauzito wanatoshaje mkuu!!!???? I mean seriously!!

wameongeza chumvi lakini hali halisi ndo hiyo
wawili au watatu ndo reality
 
Back
Top Bottom