inawezekana kuwa na mpenzi unayemzidi upeo?

haelewi mambo mengi, mfano issue za ujasiriamali, nini kanaendelea duniani, siasa. in short hayupo updated kabisa. ni mshamba mshamba tu

mshamba mshamba tu? lol
but atakuwa 'good in bed' lol
vinginevyo wamtakia nini?
wewe umeshakuwa 'dickmatized' wewe lol
 
haelewi mambo mengi, mfano issue za ujasiriamali, nini kanaendelea duniani, siasa. in short hayupo updated kabisa. ni mshamba mshamba tu

Namhurumia kwa kuwa nawe muda wote huo.

Kweli humpendi lakini hata heshima huna?

Maneno mengine yanaonyesha zaidi wewe ulivyo kuliko alivyo yeye
 
sasa upeo gani,wa kimaisha au utandawazi,fafanua coz kama hana upeo wa mbali maana yake alimtafuta mtu ambaye anahisi wanaendana ambaye ndo wewe,navyohisi.
 
Namhurumia kwa kuwa nawe muda wote huo.

Kweli humpendi lakini hata heshima huna?

Maneno mengine yanaonyesha zaidi wewe ulivyo kuliko alivyo yeye

ukisoma post yangu ya kwanza utaelewa kwamba ndio tunaelekea kuwa wapenzi na sio kwamba ni wapenzi tayari.
 
Hawa nao kwa kujitutumua tu.

Ungekuwa na upeo ungekuja kuomba ushauri JF?

Ungekuwa na upeo ungepigwa bao siku zote hizo na mtu asiye upeo?
 
ahahahahahaaaaaa....my god. you ladies bana...

MUngu awapeni nini jamani???..mkipewa ma-hndsome mnalalamika wanawa-cheat wanatoka nje ya ndoa, mkipewa ma-genious mnalalamika ohh mwanaume anajua kila kituuu mpaka simu yangu kaiseti gps kila saa akinipigia nashindwa hata kudanganya coz anaingiza coordinates na kuniambia niko sehemu flan, mkipewa wenye kipato "MA-PEDESHEE" mnalalamika wananunulia na kujengea majumba malaya zao mitaani

mkipewa " WASHAMBA" ili sasa na nyie mupate ma-mbwiga ya kuwaburuza na ku-exercise a liltle "mfumo jike" NALO MNALALAMIKA ohh eti hayupo updated mara ohhh hatuendani namzidi upeo...bulllll---T-shittttt.

MWANADAMU HATOSHEKI HATA UKIMPA NINI MILELE HATORIDHIKA
 
Inawezekana kuwanaye na nijukum lako kumpa uelewa zaid ktk mambo ambayo unahc upeo wake unaonekana kuwa mdogo. Naiman hata wewe kunavitu ambavyo utahtaji kuvijua kutoka kwake so mi nadhani mnaweza kuwa pamoja huku mkizidi kupeana elimu katika yale magen kwenu nyote.
 
haelewi mambo mengi, mfano issue za ujasiriamali, nini kanaendelea duniani, siasa. in short hayupo updated kabisa. ni mshamba mshamba tu[/QUOTE]

mwanaume hauko proud naye unaendelea kusema unaelekea kuwa mpenzi wake?manake nini?ukiachana nae baada ya kumpata mwenye upeo unaoutaka ukiitwa malaya utawalaumu watu?hii manake ni kuwa hata wewe upeo wako ni mdogo maana hujui unataka nini from a man,mwanamke mwenye upeo anajua wat she what and to go for it!kitendo tu cha kukaa na mtu mwaka mzima ukijua kabisa sio type yako ni upeo duni means ur at a go,anything in road is ok,and thts not wat it means kwa mtu mwenye upeo!
 
mshamba mshamba tu? lol
but atakuwa 'good in bed' lol
vinginevyo wamtakia nini?
wewe umeshakuwa 'dickmatized' wewe lol

umeona enh!na ushamaba wake si ajabu ni mzuri sana kitandani,sasa sijui wanafikiri ideal men hawana mapungufu,ngoja awatafute wenye upeo aone nao mapungufu yao na wao then atakuja hapa kuomba ushauri ''jamani hivi kweli mtu mpenzi wako akijua kila kitu sio tatizo kweli?''
 
Inawezekana kuwanaye na nijukum lako kumpa uelewa zaid ktk mambo ambayo unahc upeo wake unaonekana kuwa mdogo. Naiman hata wewe kunavitu ambavyo utahtaji kuvijua kutoka kwake so mi nadhani mnaweza kuwa pamoja huku mkizidi kupeana elimu katika yale magen kwenu nyote.

asante kwa busara zako.
 
umeona enh!na ushamaba wake si ajabu ni mzuri sana kitandani,sasa sijui wanafikiri ideal men hawana mapungufu,ngoja awatafute wenye upeo aone nao mapungufu yao na wao then atakuja hapa kuomba ushauri ''jamani hivi kweli mtu mpenzi wako akijua kila kitu sio tatizo kweli?''

shangaa ....lol
 
Umenishangaza sana kusema mpenzi wako hana upeo kama wewe na ni mshamba mshamba..
Na zaidi umejichanganya ulivoongelea kuwa kutojua mambo ya ujasiliamali na events za kila siku as ndio ushamba wenyewe..Kama ndiyo hayo una'refer' kama upeo umechemka aisee..Hayo mambo uliyotaja kwa muda wowote mtu anaweza jifunza na kuyaelewa..Na mtu hawi perfect kwa kila idara..Kama unampenda mrekebishe kwa kadiri ya upeo wako unaoujua...

Vinginevyo ntaona kama unacheza makidamakida..By the way hivi mwanamke akiwa na maarifa zaidi kwenye mahusiano ina hasara gani??..why you people always want to be dominated??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom