twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 459
Salaam,wana jf.Kwa kweli hili swali linaniumiza kichwa sana unakuta mtu ana qualities zote za uongozi like influence,organizing,kujenga hoja,mvuto na anajiamini tatizo pengine amekosa tu uthubutu.Anajikuta hagombei na hata akiombwa agombee hafanyi hivyo sasa inafikia hatua anataka kugombea pengine baadae sana.Je historia itamhukumu?Mana utasikia wengine hajawahi kuwa hata monitor atawezaje kutuongoza?Naombeni mawazo yenu wana jf..!