Nataka hii huduma kwa mwanza
3.5 m kwa huduma ya uhakika na usalama.
jameni nimeambiwa nina hiatus hernia sasa naitaji nifanye operation vp kama kuna mtu ashafanyiwa au anajua niende hospto gani
Hebu rudi utuambie kama ile ngiri ya dogo haijarudia!!Mtoto wangu alizaliwa mwaka 2008 mwezi Nov akiwa na tatizo ambalo madaktari walilieleza kuwa ni hernia. Tatizo hili linatibiwa kwa upasuaji ila inabidi mtoto akue kidogo kama miaka 3 -5 ndo afanyiwe upasuaji huo.
Nimeshangaa sana baada ya kumpeleka hospital iliyoko jimbo la Shaanxi kwenye mji wa Xi'an ameweza kutibiwa bila upasuaji wowote. Alipewa dawa ya kunywa na kufunga nje (moja kwenye kitovu na nyingine kwenye eneo la karibu na sehemu yake ya kiume [hii ilifungwa na mkanda maalum]). Ninapenda kushukuru kuwa mtoto amepona baada ya siku 20 ya kutumia dawa.
Teknolojia hii ni bei nafuu sana na aina maumivu wala usumbufu. Naomba watanzania hasa wakemia tuwasiliane ili mfanye uchunguzi wa dawa hizi kujua kilichomo ili tuzitengeneze Tanzania kusaidia kizazi kijacho. Nilichukua dawa hizo in excess ili tuzichunguze