Inawezekana kufanya mtihani wa kidato cha sita?

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Jamani nahitaji kufanya mtihani wa kidato cha sita mwakani mwezi wa pili.Je bado sijachelewa?Hakuna namna ninayoweza kutumia ili niweze kufanya mtihani mwakani,?Nilikwama kupata fedha ya malipo ya mtihani kwa wakati.
Nawasilisha.
 
Umechelewa sana mpaka mwaka kesho kutwa mkuu,in the mean time tafuta channel nyingine au kitu kikukeep busy
 
Akajarbu kuongea na wa2 wa necta,cdhan ka registration itakua imeisha!
 
jaribu luwasiliana na necta,kama upo dar nenda in person uongee nao!ila wapo very strict!ila kama una hela nakushaur usome diploma hayo mambo ya six achana nayo!
 
jaribu luwasiliana na necta,kama upo dar nenda in person uongee nao!ila wapo very strict!ila kama una hela nakushaur usome diploma hayo mambo ya six achana nayo!
<br />
<br />
Nipo tabora manispaa!Tatizo ni kwamba nimekusudia kufanya mtihani wa form six,ila sasa ndo nimepata pesa ya kulipia necta.MAWAZO JAMANI.
 
Mimi pia nilitaka dogo wangu apige paper mwakani nilienda baraza nikaambiwa muda umeisha mpaka baada ya mwakani, dont get your hopes up muda umepita mkuu,usipoteze hela yako kusaka alternatives, utatapeliwa tu
 
Back
Top Bottom