Huyo mtoa mada yuko makini kweli? Kuna majukwaa mangapi hadi mafisadi wailenge jf? Inahuzunisha kuwa na mawazo kama hayo
atoe solution sio kulalamika lalamika, hata hao kwenye sihasa wanalalamika hawatoi solution ya matatizo kwa mfano tu india walikosa mkate siku 1 watu wote wakalala njiani je wewe na wenzio mnaoongea point /sihasa je mmefanya nini?
Nimefuatilia kwa karibu posting zinazofanyika kwa siku za hivi karibuni nyingi na kugundua kwamba nyingi zinahusu mahusiano na mambo ya mapenzi ukilinganisha zile zinazohusu mijadala juu ya mustakabali wa nchi kuhusu rushwa, matumizi mabaya ya madaraka, uhujumu uchumi, EPA na mafisadi wake na siasa za nchi yetu kwa ujumla.
Nikiangalia kwa karibu kulikuwa na wimbi la watu kujiunga na JF some 6 months ago ambapo mijadala juu ya ufisadi ilikuwa imepamba moto na ninajikuta nalazimika kufikiria kwamba kulikuwa na msukumo fulani kutoka kwa mafisadi kuingiza "watu wao" kwa wingi hapa JF na kupost issues za mahusiano ili kupindisha attention ya watu kutoka kwenye kupigia kelele ufisadi na badala yake tuzame kwenye kujadili mambo yanayohusu mahusiano na mapenzi.
Ikibidi Mods watupe data za aina za posting kwa siku za karibuni (at least for the past 6 months) ili tupime ukweli wa fikira zangu.
Mnalionaje wazo hili, je lina ukweli wowote?
Your hypothesis is not logical. Hata kama members wanao changia mambo ya mapenzi wameongezeka haimaanishi kuwa kuna watu wamewekwa kudivert attention. Ukweli ni kwamba kitu kikitokea mwanzoni kuna ile hali ya kuichangamkia. Miezi michache iliyo pita kuli kuwa na new topics kibao kuhusu ufisadi. Sasa hivi habari za ufisadi ni zile zile tu kwa hiyo kuna kuwa na lack of interest. Jamiiforums siyo siasaforums bwana wacha watu watanue wigo.
Nguli,
kukimbilia kuongelea umbea na hadithi za kutunga kwenye mapenzi!!! Najua nimechokoza watu kwa kauli hiyo!!!
tuendeleeni kushabikia si hasa lakini tujue si hasa hazitushangilii.
Tuendelee kupanua midomo yetu kama huyu bwana pichani ila tuchunge wadudu wasiingie ndani. Hakika uchaguzi umewadia.
Lol, nimecheka saaaaaaaaaaana. yani kuna ukweli humu 120%hizi ndo zetu mpwa!
ni ishu ambazo hazina tension wala haziiitaji brainstorming!ni swala la kupanda daladala,unabeba ka twenty kako,na kabahasha umeweka siivi ndani unakutana na wapwa mnabadilishana siivi MNALEWA!mnaagiza makange mnakula jioni unavizia tena kadala dala huyooooooooooooooooooooooooo!mpaka tandika
uzuri wake hamna anae kufuatilia kwasababu:
ROSTAMU HAUSIKI
PATELI HAUSIKI
MANJI HAUSIKI
JEIKEI HAUSIKI
AIPITIELO HAIUSIKI!
unaona bwana!