Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
Mkuu Kaizer,
Asante kwa mchango wako lakini nisaidie kunielewesha kiwango changu ni kipi mkuu, nisaidie hapa!!! Inawezekana sijijui sawasawa!!!!
okay, mi wala sitachoka, nilimaanisha hii:
Tiba
Tiba has no status.
JF Premium Member
Join Date: Tue Jul 2008
Posts: 227
Thanks: 0
Thanked 8 Times in 8 Posts
Rep Power: 22
Kwa hiyo mkuu, wewe sio member tu ni premium...nikimaanisha umeshachangia hata JF, (japo nimenote kuwa kitufe cha senks hujawahi kukitumia) kwa kujua nia na madhumuni yake, ikiwemo uhuru wa maoni kwa mtu kuchangia pale anapoona panamfaa zaidi. Haikutegemewa uje na thread kama hii mkuu,
Mkuu kwa kukusaidia tu ni kwamba ni tangu JF imeanzishwa kwa hiyo ni reliable na valid. Lakini unaponiuliza hili swali mkuu hebu kwanza na wewe reciprocate kwa kutupa data za jinsi jukwaa la mahusiano lilivyo 'overtake' mambo ya siasa.Hizo data ulizotoa ni kwa kipindi kipi mkuu? Tangia JF ianzishwe? au kuanzia tarehe ngapi mpaka lini?
Tiba
respect