Inawezekana hata TZ

kisa_kya_ntwa

Member
Jul 29, 2009
5
0
Hi vita ya mafisadi nini hasa mwisho wake, wana JF mniambie.

Ninavyoona mimi;
Kila mtu akusudie jema kwa taifa letu, tubadilike kuanzia mtazamo wetu wa utajiri wa harakaharaka na tutafika.

Wana-JF tuwe mfano bora kupinga kila namna ya uovu katika taifa letu. Nawasihi wenye uwezo wa kugombea nafasi yeyote ile kwenye uchaguzi ujao udiwani, ubunge hata urais(URAHISI) ikiwezekana
 
kweli inawezekana,kikubwa ni uamuzi uliosahihi lakini utambue siasa ina michezo mingi ya ajabu hivyo uwe tayari kupoteza kile ulichonacho ili uweze kufanikisha lengo.
labda tuanze sasa mpaka ikifikia 2020 tutakuwa tumepiga hatua kidogo kwani tutapata viongozi wanaofaa na kuanzia hapo matunda yataanza kuonekana 2050,nahisi ufisadi utakuwa umetokomea kabisa kuzimu.
HAYA TUANZENI SASA.
 
Back
Top Bottom